Niliwahi kuwa katika hali kama hiyo nambaya zaidi nilikujakutoa uamzi wa ghafla bila kuzingatia kitakachojili baada ya wiki2 kugundua nipo peke yangu ikawa ngumu wiki ya 3 ikawa nikiona simu yake roho inadunda,nikikutana naye,moyo unalipuka lipu,Usiku nikawa silali namuwaza yeye ila nikamwita nikamwambia yaliyopo moyoni yanayonitesa nanikamwambia uamzi niliouchukua unanitesa lakini sina budi kwani ulichonifanyia sirudi nyuma japo naumia nanimekuja kugundua kwamba nilikuwa nakupenda sana!!Lakini nikawa namuomba nikutanae naye tuongee kama marafiki akakubali kwakuwa nilipokuwa sifanyi hivyo nakesha kwenye pc sipati usingizi kabisa Mimi ni JF,Facebook,Baadae akaja kuomba msamaha kwa aliyoyafanya nakwakuwa ilikuwa siyo mara yake ya kwanza alijutia!!ila nikazoea na sasa moyo haudundi kama mwanzo nimetulia.Nasema i was victim!!!