Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

... I'm a bit confused..

Kutokana na kupata "No" mbili tatu mfululizo, niliogopa kumaliza kusoma ..kwa kuogopa kupata jibu.. " I think I am not in love"..
Discuss
 
kha kweli mapenzi wakati mwingine maumivu mtu kakosea yeye halafu wewe ndio uko busy kuomba msamaha maisha haya!

Yaani hapo Gaga umenikuna... Hii technology ya sasa hii.... Yaani inabidi Ucheki E-mail (hapo ukute ni G&Yahoo) ucheki voice mail, Messages, simu line zooote unaogopa kuzima,...lol... Mie sitaki niseme zaidi yanitia HASIRA! lol
 
hahaha!!! Mapenzi kikohozi dear.... Nitakua nakuangalia ukiwa karibu na Boss.....lol...

AU Ulikua na maana "Hate that I Love you"??
Shut already, i have remained with only one nerve and you are stepping on to it.
Ntakutafutia na wewe kisa nikusumbue.
 
Tabu niliyoipata kwakipindi cha miezi mine iliyopita nimimi namwenyezi mungu ndiyo tunajua,kwani nilikonda nilikuwa nikikaa kwenye kiti ofisini siwezi natoka natembea nje ili mraadi nikidhi haja lakini nikirudi home ndo kwanza hatanikiona picha ya mtu anayefanana naye rohoo inalipuka kwa uoga!!!Asikwambie mtu mimi najiona nimehitimu chuo cha mapenzi!!kasheshe zake nazijua naninaweza kutoa lecture kwa yeyote anayehitaji ushahuri kutoka kwangu!!

This post coming from a Man... I am touched KakaKiiza na i feel for the lady maana mara nyingi wanawake hatuna bahati ya kupata mwanaume anakupenda kwa dhati... Kikubwa handle your heart with care na hakikisha usikate tamaa bana. Please love again, it is a wonderful feeling.... Kikubwa "To love and feel loved" Source; Teamo.
 
AM IN LOVE,unfortunately nnaempenda hajui.. Inaumaaa asikwambie m2

Ukisema unampenda yeye hakupendi sema unamtamani ndipo atakupenda yeye
Unajua kupenda na kutamani ni vitu viwili tofauti lakini vina lengo moja
 
Barikiwa bidada uzi umetulia

Fanta Face sura yako ni adimu, ingekua sio kukuona kwenye Uzi ulodai wewe
pia ni FF, Kweli nisengekufahamu.... Glad to see you after months...

Nashukuru for the acknowledgement dear... Karibu saana MMU.
 
AM IN LOVE,unfortunately nnaempenda hajui.. Inaumaaa asikwambie m2
pole sana kitaambo ilishanitokea ni ngumu kumeza na kutema pia, wanawake huwa wanateseka zaidi sababu hawawezi wengi kwenda next step yaani kumwambia muhusika...but still you can shoe him signs
 
... I'm a bit confused..

Kutokana na kupata "No" mbili tatu mfululizo, niliogopa kumaliza kusoma ..kwa kuogopa kupata jibu.. " I think I am not in love"..

Tulizo I am not surprised... Infact i know that for a fact tokana na maelezo ya post zako (thou sio love related) Umekumbuka siku ile nikasema sijui niseme kama una bahati ama bahati mbaya..... Yaani wewe ni moja ya member ambae nikiona baadhi ya topics hapa MMU, I think about... uko kind of mysterious.....
 
My kid sis Say something.....
nimekumbuka kuhusu no moja tabasamu -NAPENDA SANA KUTABASAMU YAANI HATA KAZINI PRINCIPLE YANGU KWA MTEJA NI SERVICE WITH A GOOD SMILE ....NA HII IMENISAIDIA SANA NITAKUELEZA SIKU MOJA
NO 2SIO KIVIILE
KUHUSU NO 3 MMMMH AM SPEECHLESS
NO 4 5 6 NA KUENDELEA NITAMALIZIA BAADAE KUNA CUSTOMER ANAITAJI SMILE HAPA
 
AM IN LOVE,unfortunately nnaempenda hajui.. Inaumaaa asikwambie m2

Dah! Pole daughter... I Know the feeling for waweza kuta wagonjweka..... care to mention yupo mazingira yako yepi?? as in home, kazini....
 
kha kweli mapenzi wakati mwingine maumivu mtu kakosea yeye halafu wewe ndio uko busy kuomba msamaha maisha haya!

Ndo maana wahenga walisema Love is blind....lol... Yaani to you s/he so perfect husikii wala huambiwi!!
 
Shut already, i have remained with only one nerve and you are stepping on to it.
Ntakutafutia na wewe kisa nikusumbue.

Jamani your gal friend umtafutie visa?? C'mon... and preserve that nerve.....lol... Taking in mind he is a married Bachelor.
 
Ukisema unampenda yeye hakupendi sema unamtamani ndipo atakupenda yeye
Unajua kupenda na kutamani ni vitu viwili tofauti lakini vina lengo moja

Lmao..... Khaa!!
 
nimekumbuka kuhusu no moja tabasamu -NAPENDA SANA KUTABASAMU YAANI HATA KAZINI PRINCIPLE YANGU KWA MTEJA NI SERVICE WITH A GOOD SMILE ....NA HII IMENISAIDIA SANA NITAKUELEZA SIKU MOJA
NO 2SIO KIVIILE
KUHUSU NO 3 MMMMH AM SPEECHLESS
NO 4 5 6 NA KUENDELEA NITAMALIZIA BAADAE KUNA CUSTOMER ANAITAJI SMILE HAPA

Yaani umenikoroga na kunizunguka hapa.... Kid sis acha kujibaraguzi.... COME HAPA!! lol... Smile away love...
 
we acha halafu umkute mtu mwenyewe mambo yote anachukulia kirahisi rahisi roho itakusimama mpaka ujute aliyetengeneza mapenzi angejua toka mwanzo angeacha tu!

Ndo maana wahenga walisema Love is blind....lol... Yaani to you s/he so perfect husikii wala huambiwi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom