The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
The Finest ashamwibia mtu halaf katoa namba yangu ya sim nini? huyu mzembe nishamuonya sana lakini haskii
Nikiwa sipo kumbe hizi ndio zako tuone kitaa sasa kama leo utakatiza lazima niwaambie machizi wakuchezeshe kiduku sanaEndeleeni kumwamini tu, mzembe juzi tu kampatia ujauzito mlemavu flani boda la malawi
Thread Closed........Jioni Njema mbarikiwe sanaahaaa huu mthread ni wa kufall in love na mimi natangaza hapa nimefall kwa rejao roho yangu ipo kutkut kut kila nionapo huo mpua loh
dah nalog offNikiwa sipo kumbe hizi ndio zako tuone kitaa sasa kama leo utakatiza lazima niwaambie machizi wakuchezeshe kiduku sana
Ni UporotoKloro tuache hayo kwanza... Kuna jamaa alikua anachat na mmoja wenu akaongopa ni mdada na kumwambia atume pesa ya nauli toka Arusha... Ni nani katika kundi lenu lile?? lol
umeona darling eeh ndo maana nikasema nimewavulia nguo? jamaa ni noma haoile story imenifurahisha sana! nimecheka sana!
Kumbe hizi ndio za akina kloro? dah, kwa mtindo huu wengi watalizwa!
si uliniacha ukaenda kwa swiitlady bwanaThread Closed........Jioni Njema mbarikiwe sana
Kamanda hapo ndio nimekupaisha, nikimwaga CV lako la ukweli kitalipuka hapaNikiwa sipo kumbe hizi ndio zako tuone kitaa sasa kama leo utakatiza lazima niwaambie machizi wakuchezeshe kiduku sana
mwaga naitaji ushaidi maana naona lawama zitaniangukia kaka mwagaKamanda hapo ndio nimekupaisha, nikimwaga CV lako la ukweli kitalipuka hapa
Ndio unajitetea hivyo au???si uliniacha ukaenda kwa swiitlady bwana
Endelea tu mimi nakuangalia......mwaga naitaji ushaidi maana naona lawama zitaniangukia kaka mwaga
Mdogo wangu believe me sikuwepo, na NARUDIA Sweetie hakuhusika... Nimechoka kuficha Siri ni kati ya hawa... Klorokwin, ODM, The Finest na RR (hasa RR maana hajaonekana kabisa yawezekana anatumbua hizo pesa) lol
Mi simooooo... Ila mkinibana sana naweza kurudisha sehemu ya pesa (nadhani nimebazika kama shilingi 16 500 hivi) lolkweli sis una akili sana kuna siku RR aliaga akasema kuna mtu amemtumia hela akatualika bwana loh kumbe?
kweli sis una akili sana kuna siku RR aliaga akasema kuna mtu amemtumia hela akatualika bwana loh kumbe?
ile story imenifurahisha sana! nimecheka sana!
Kumbe hizi ndio za akina kloro? dah, kwa mtindo huu wengi watalizwa!
mmmh namsubiri consultant wangu kloroNdio unajitetea hivyo au???
Endelea tu mimi nakuangalia......
Dah! acha niuchune tu, ataenda kufuja kwa bimdogo huyu jamaa. Halaf hapa sasa hivi nipo bizee nasoma PM za rejao anazomtumia sweetlady. Unajua ukiwa mtaalam wa IT raha sana.mwaga naitaji ushaidi maana naona lawama zitaniangukia kaka mwaga
ahahaaa toka laki mbili umebakisha iyo jamaa anadaiwa mrudishie bwana lohMi simooooo... Ila mkinibana sana naweza kurudisha sehemu ya pesa (nadhani nimekazika kama shilingi 16 500 hivi) lol
AshaDii, ona hii, nilipo isoma ndio nikapata hamu ya kujiunga nije nikusomeshe na wewe...:husband to his wife: I want you to say :" I love you", In front of the whole world. ... wife: approached her beloved husband, and whispered in his ear " I love you ..." husband, turned to her and said sadly :" Why you did not say it to the whole world?" wife said: "Because you are the whole world to me"
mmh nalog off switlady ana nini na mimi sijui wala hajaanza kwa ft kwaheriniDah! acha niuchune tu, ataenda kufuja kwa bimdogo huyu jamaa. Halaf hapa sasa hivi nipo bizee nasoma PM za rejao anazomtumia sweetlady. Unajua ukiwa mtaalam wa IT raha sana.
Dah! acha niuchune tu, ataenda kufuja kwa bimdogo huyu jamaa. Halaf hapa sasa hivi nipo bizee nasoma PM za rejao anazomtumia sweetlady. Unajua ukiwa mtaalam wa IT raha sana.