Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

We we we we we we taratibu hapo mbona unaenda speed ya gun hapa mkuu
taratibu na salimia wenyeji kwanza

Kopo la chooni la chooni tu hata liwe jipya kamwe haliwekwi kabatini. Habari yako bw. Mashavu?
 
wow bora umetokezea manake nilikuwa najiuliza...nimeona apo pa kusaini tu, kama chini ya dola 200 usikubali kabisa...lol

uzima upo kabisa sweetie si unajua mambo yake, haniachii nianguke kwa ugonjwa...always there,,,apo kwa TF nakushauri fikiria tena lol
 
Husband(wapi smile???),ni hivi haya mambo mengine tukiyamwaga hadharani haifaiii.......
naona smile kabadilisha avatar,unamtega nani sasa?wenzio tushamalizana huku rudi harakaaa

Kaona yanamshinda kaamua kuondoka zake
Kweli kabis ahaya mambo sio ya kuongea wala kutyaanika hadharani
Bora tukake kimya wife
 
khaaaaaaa!
Mood: lawyer nimepazal
 
Husband(wapi smile???),ni hivi haya mambo mengine tukiyamwaga hadharani haifaiii.......
naona smile kabadilisha avatar,unamtega nani sasa?wenzio tushamalizana huku rudi harakaaa
mmmh napita tu ?? haya ya baba na mama tuli leo yameniacha hoi loh
 
pendaneni kama nilivyowapenda

Bht nasikitika umepost hii kitu sipo.... Hopefully you have not left... Miss you bana, umeadimika.... (jana niliona tu nyayo zako....lol)
 
Reactions: bht
Husband(wapi smile???),ni hivi haya mambo mengine tukiyamwaga hadharani haifaiii.......
naona smile kabadilisha avatar,unamtega nani sasa?wenzio tushamalizana huku rudi harakaaa
Mama Tuli na Rocky nitafutieni Smile wangu mumlete hapa dah mwambie asipende kusikiliza habari za uzushi za mitaani atakufa kwa presha bure
 
R' i love this song... It is a classic an all time song.... Nice selection pal...

Kingosho una mambo wewe mdada wewe.... yaaani naona hapo Boss saizi yake!!! lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…