Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,869
Mh! Hapa nimekubali,sikujua kama Saladin hakuwa Mkongo. Hebu nikumbushe gitaa za Rythim na Base walipiga akina nani
maana nakumbuka Saladin alipiga solo gitaa.
Kuna huu wimbo wao wa Rosa:
Shimita: Ningekuwa na pesa ningenunua ndege, twende kuishi tuu karibu na mweziii
Wanaitikia: Kwa sababu watu wasituudhiii, kipenda roho hula nyama mbichii Rosaa............
Gitaa la Bass na Rythim waliyashika waanzilishi haswaa wa kundi hili...
Bass lilikamatwa na Ngouma Lokito na Rythim ama gitaa la kati lilipapaswa na mkongwe Lokasa ya Mbongo