Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Mie wa pole pole
Then utaipenda hiyo track la aziz!
Mie wa pole pole
miye mbongou by mayaula
ha haaa, haya nimeacha kelele, hii haimaanishi umeshindaYaani yule Mzee asingekuwa anatuwekea kauzibe.........!
BTW acha ubishi unataka watu wajazane hapa, huna dogo.
Mhhhhh! lol! hahahaha!!! Mie wala sitii neno 🙂....Father's day is just around the corner.
Kuna mwignine ulikuwa unaimba 'kidekule', nao naupenda.
Najikumbushia tu
na aziza na ule wa one way hapa kale kagita ka solo ni balaaa
Filandu
Eve sukali
Hi ho ha new image
Champion kapangala
Masuwa
Daniko-bcbg 4x4
Dizoizo
Porme verte-koffi
Respect
Farousci
Mama mapasa-pepe kale
Christina
Moibi
Khadija
Evelina-aulus mabele
Nimeishiwa betri-mimi
ha haaa, hii kazi nimefundishwa na rafiki yangu BAK....
sijui kapotelea wapi siku 2 hizi hata sijamsikia.
Enjoy
mi sijui majina najua yale niliyokuwa naimba tu kwa tafsiri yangu ya kingoni sijui!
..isambe
....inde moniiii
.....salanoki
......yondo sister mwana maaama
ehehehhe wen music was music
bolingo za eleyson c mchezo
ukionana naye huyo BAK msalimu sana....Yupo Marekani anafuatulia NBA Final...
umejileta mwenyewe, amkia...
yaani GF wa kwanza mwaka 75 wakati mwanangu wa kwanza kazaliwa 73........
amkia haraka sana
Marahabaaaa, hujambo mdogo wangu?Du!! Watu kwa kutambiana na u-seniority!!! Shikamoo lakini. You deserve it hata kama nami ni mkubwa kiasi chake🙂