Dah, Bolingo zilizowahi nibamba

Kipe Ya yo by JB Mpiana .le poisson a combien de parti!trois parti,le cite les,
 
bolingo zilikuwa zamani hakika...
na binafsi yangu ukinitajia Mtindo wa Bolingo ninaoukubali basi sisiti kuutaja mtindo uliitwa Soukous...

Na kama utazungumzia Soukous basi Sokous Stars ndo bendi.
Na miongoni mwa nyimbo za Soukous ninazozikubali basi...
1. Rose
2. Robin pretty
3. Sophia
4. Rhoda.
5. Aba goimo
Kisha ktk kundi la sokous alikuwepo shangazi mmoja alieitwa Yondo Kusala maarufu kama Yondo Sister ambae nae alitamba na vibao kama...
1. Cayina
2. Bazzo
3. Mwana kento
4. Wapi yoo
Na nyingine nyiingi sana.

Halafu pakawepo na mtu alieitwa Luciana Bokilo.
Bokilo yeye alitamba na...
1. Aziza
2. Missete
3. One way.

Kisha akaja kamanda mwingine alieitwa Lokasa ya Mbongo ambae nae akapiga ngoma kali kama...
1. Adiza
2. Marijose
3. Monica.
4. Nairobi night amabao kwa pamoja alishirikiana na makamanda wenzie waliounda Soukous Stars.

Machi/5/1989 katika hotel ya New Morning mjini Paris Mpiga gitaa la Bass Ngouma Lokito akiwa na nguli mwenzie ambae ni mcharaza Gitaa la Rythim Lokasa ya Mbongo walianzisha Band ambayo waliibatiza jina la Soukous Stars.

Miongoni mwa members wengine walikuwemo Paris Shimita,
Yondo Sister, Balu kanta na Zitani Nell.. nyota wengi ktk bara hili kama Manu Dibango, Jacob Desvarieux, Jocelyn Kiambukuta na Sam
Mangwana, walikuwapo siku hiyo.

Kituo kikubwa cha matangazo nchini Ufaransa RFI (Radio France International) walirusha LIVE tukio hilo la kumbukumbu.

Mara moja bendi ikawa na ikaanza kufanya maonesho ya LIVE karibu Duniani kote huku wakishirikiana na nyota wengine Barani Efrica.
Baada ya miaka kadhaa kupita Soukous Stars wakajinyakulia umaarufu wa hali ya juu.
miongoni mwa nyota waliokuwepo ktk kundi hilo ambao walitoka nchi mbali mbali barani Africa ni Yondo Sister, Shimita, Nyomba,
Luciana de Mingongo toka Kinshasa, Democratic
Republic of Congo;.

Kisha wakawepo Ballu Canta, Zitani Nell, Pierre
Belcos, Lucien Bokilo toka Congo Brazzaville;

Saladin Saladin wa Central Africa Republic;

Arsene Kounde toka Benin na Joseph Koujojo toka
Cameroon.

Balantanda njoo uwazungumzie Wenge BCBG walipotoka mpaka walipo sasa.

Asante kwa kunikumbusha enzi hizo haswa Soukoss star, Bokilo na Salmon Rama niliwapenda sana alipokuwa kundi la Loketo
 
Video ya Albam ya soukoss star waliirekodia USA na kilichofanya wanamuziki wengi wa Zaire kwenda France ilikuwa ni kumkimbia Mabout Seseko ambaye alikuwa anakasirika pindi alipokuwa anaimbwa vibaya na wasanii nchi yake
 
noblesse oblige by Koffi Olomide,papa plus - Koffi Olomide,adrada - Koffi Olomide,Sala noki -General Defao,kalai boeing wenge BCBP,Isambe -Kanda Bongo man na nyingine kibao enzi hizo muziki wa bolingo toka Zaire ulikuwa uko juu c mchezo

Koffi Olomide ndo nampenda sana katika nyombo zake haswa kuanzia albamu ya Okolo Lupemba, Force de frape, Effrakata, Danger de mort nakadhalika
 
Kala yi boing- wenge musica

evelina-- auluce mabele

Hidaya- pepe kale

Solola bienue- werason

Frere eduado- madilu

bilima - kanda bongoman

namuchana- kandabongomani

kokola- Tshalala mwana

titanic- jp mpiana

pentagone-wenge musica

jojo ng'onda -wenge musica

yaani hizo ni baadhi tu huwa zikipigwa achaaa tu
 
Jamani, mnaoweka muweke basi na clip zake ili tuzipate
Mwenye anayejua kidekule umeimbwa na nani na jina lake aniwekee

Hapa nashindwa kukuwekea hakuna option ninazo 2 1 unaitwa polo kina response na dandy,
 
Monica na Mario wa Kass Kass later akaja mzee mzima Lwambo lwanzo Makiadi na Mario
 
Kala yi boing- wenge musica

evelina-- auluce mabele

Hidaya- pepe kale

Solola bienue- werason

Frere eduado- madilu

bilima - kanda bongoman

namuchana- kandabongomani

kokola- Tshalala mwana

titanic- jp mpiana

pentagone-wenge musica

jojo ng'onda -wenge musica

yaani hizo ni baadhi tu huwa zikipigwa achaaa tu

....

.....umetisha
 
Ila nyimbo za kofi olomide zilikuwa zinabamba sana
Na kuna wale wanamziki walikufaga kwa ajali ya ndege, hebu mikumbushe kundi lile lilikuwa linaitwaje manake nao walikuwa balaa

We unawasema wale wa timu ya taifa ya zambia chipolopolo
 
Hahahahhh. Kumbe King'asti we wa juzi juzi tu. Basi kwa taarifa yako gitaa la solo la huo wimbo lilipigwa na Nene Tchakou, rythm Lokassa ya Mbongo na sometimes Nene alikuwa akisaidia kuimba. Lakini pia Dally Kimoko alipiga gitaa la solo kwenye baadhi ya nyimbo kwenye hiyo album, kama ule wimbo wa Wallow. Upo hapo?

Duh. Ndugu Ndoa, hiyo album ninayo nzima nzima, niliinunua Kariakoo 2005, iko bomba sana. Gitaa la solo kapiga Dally Kimoko akisaidiwa na Caen Madoka (kumbuka kwamba hao vijana ni product ya Loketo). Kwenye rap za hiyo album yumo Albert William Longomba (AWILO) na Aurlus Mabele. By then, kila mwanakikundi wa Loketo alisaidiwa na kundi kutoa album, kwa hiyo akina Mack Macaire, Jean Baron, Lutchiana J Toto, Lucien Bokilo, Djunny Claude, Dally Kimoko, Awilo, Mabele na wengineo wote walitoa album kipindi hicho. Umenikumbusha mbali sana. Huwa na enjoy sana hizo nyimbo, ninazo kwenye flash najiburudisha nikiwa na nafasi.

Umemsahau na jean pierre aliyepiga mami lolo, ni bonge la soukouss
 
Last edited by a moderator:
Jamani, mnaoweka muweke basi na clip zake ili tuzipate
Mwenye anayejua kidekule umeimbwa na nani na jina lake aniwekee
Kundi ni victoria eleyson ikiongoWa na king kester emeneya, kidekude ni mtindo wa kurap, hivyo ktk nyimbo zake nyingi hutumia hiyo kidekude, mfano wimbo wa Nzinzi ukichanganya!
 
One of the greatest rumba songs of 1970 was Maseke ya Meme...?
Maybe it was one of the greatest. But not the greatest. Kwa hapa nyumbani Maseke ya Meme haikuweza kufunika nyimbo kama Tambola na Mokili (Johnny Bokelo) au hata Bolingo ya Telephone (L'Orchestre Los Nickelos). Kama ulikuwa kijana enzi hizo nadhani unaweza kukubaliana na mimi. Hizo nyimbo zilitikisa haswa na zilikuwa moto kabla ya ujio wa wimbi la Trio Madjesi (Sosoliso) lililotesa hadi Franco ilibidi atumie mbinu za kuwamaliza.
 
mwenye uwezo wa kuattach hizo bolingo hapa jamii forum anisaidie, cmu yangu haina uwezo wa youtube. Nawasilisha
 
Back
Top Bottom