Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,288
.....sheri na belaaaaaaaaaa ........mama na belaaaaaaaaa....... aiiii mama ......umugongo na pasiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
....mambo ya Maganzo, utemini, ukenyenge....
.....sheri na belaaaaaaaaaa ........mama na belaaaaaaaaa....... aiiii mama ......umugongo na pasiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
ha haaaaa, lol!
eheheee mimi nimeanza kuona bolingo kwa fm academia makumbusho pale....
HA ha ha ha, kumbe nyie mliendelea siku nyingi?
Enzi za Kanda bongoman nilikuwa Mwalimu wa Msingi Sangabuye, sikuwa na hela zaidi ya kanda.
Nimecheka, eti crusified.
Uwe makini tu usije ukakasukuma kakompyuta kwa kwa kunogewa mchezo . Ama kweli ya kale ni dhahabuHa ha ha ha, hata mie nashangaa
Hapa nimefunga mlango wa ofisi navuja jasho kwa kucheza, nimewasha muziki wa komputa hadi mwisho
ha haaa, sasa rafiki sijui unamaanisha upi....Lol. Bestbweka na ule wa 'anga-nga-nga' sijui nini. Nadhani ni wa koffie olomide. Yaani memoirs .'
ha haaa, sasa rafiki sijui unamaanisha upi....
ila za Olomide zilizokuwa zinanibamba ni
ha haaa, hii kazi nimefundishwa na rafiki yangu BAK....
umejileta mwenyewe, amkia...Kumbe wewe bado mwali kabisa, yaani Loi ya Kofi unaiona ya zamaniii wakati sisi tumecheza miziki ya
Franco Lwambo Makiadi na TP (Tout Poussant) OK JAZZ miaka ya 70. Nakumbuka Mario, Pesa position, Mamuu.
Girlfriend wangu wa kwanza nimempata tukiwa ukumbini Kinshasa mwaka 1975 tunacheza ngoma ya Flora une femme difficile by Franco / TP OK Jazz | Song | Free Music, Listen Now.
Naomba shikamoo yangu ha ha ha!
umejileta mwenyewe, amkia...
yaani GF wa kwanza mwaka 75 wakati mwanangu wa kwanza kazaliwa 73........
amkia haraka sana
we unafikiri mimi nilizaa na miaka 12?Gf wa kwanza mwaka 75 nikiwa na miaka zaidi ya 25 (nilikuwa muoga kuanza mapema). Kwa hiyo ukipiga hesabu ya MAGAZIJUTO utakuta shikamoo kutoka kwako naahitaji zaidi kuliko wewe unavyohitaji.
Kwa haraharaka nahisi snowhite anaweza kuniita baba mkubwa!
Copy: charminglady
ha haaa, hii kazi nimefundishwa na rafiki yangu BAK....
sijui kapotelea wapi siku 2 hizi hata sijamsikia.
Enjoy
Naupenda huu wimbo hadi leo, ni wimbo mzuri sana,
Enzi hizo mwalimu wa shoo kwenye maharusi, lol, tunatoka mbali jamani
we unafikiri mimi nilizaa na miaka 12?