Dah, Bolingo zilizowahi nibamba

Dah, Bolingo zilizowahi nibamba

Inde monnie wa kanda bongoman. My first ever bolingo na wa kwanza kuona live in a stadium. Sitasahau japo i was almost crucified for it hehehe.

I can imagine mboko ulizokula kwa kutoroka home.
 
Hiyo miaka ilikuwa ya neema sana
Yaani nilichokuwa naletewa zawadi ni Miwa, nikitolewa bonge la Out ni mgahawa wa Chai na maadazi, ilikuwa zaidi ya level 8 ya leo.

Ha ha haa nilkuwa kule 1988-1991.....you never know!
 
Juliana zilianza kwanza kabla ya hawa nafikiri. Kipindi cha Juliana tulikuwa tunacheza nyimbo za pepe Kale zikighaniwa na kijana mtanashati BILEKU DJUNA MUMBAFU PELEKA YAMPASI. Jina moja hilo kwa kifupi BILEKUMPASI kama unavyomuona hapa Pepe Kalle feat Djouna Mumbafu Titre Keba Na Mopepe / Djomegabp - YouTube Hapo mmetoroka school na kwenda town kwenye muziki weweeeeeee
 
Nilisafiri kwa ajili ya likizo nchi jirani. Kukawa na excitement ya ujio huo na sister asingeweza kuniacha home alone na alikuwa anaenda na washkaji zake. Mie kurudi home nasimulia maadventure. Aisee maza aliwaka, sister alipigiwa simu akagombezwaaaa. Nilikoma umbea, thikumalidhia menginewe
Ulitoroka kwenu?
 
Hahaha sikupigwaaa. Niliplay victim mbaya kabisaa. Dadangu ndo aliwakiwa, na mie nikapause like nilikuwa mgeni nikapelekwa tu. ila sis angekuwa karibu, angewashwa kibao aise
I can imagine mboko ulizokula kwa kutoroka home.
 
Back
Top Bottom