Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,275
Tuonane PM maana na mimi umenikumbusha huko huko
Tuonane PM maana na mimi umenikumbusha huko huko
Aaahh acha kabisa GF Polisi wacha nimechekaje?AISEE......Pale "recreation" au kule "compound"?.....na huu bana.....imagine nilikuwa na GF Polisi!....life is just nostalgie
Kanda Bongo Man - Liza (Remake) - YouTube
Aaahh acha kabisa GF Polisi wacha nimechekaje?
Compound sijakwenda sana ilikuwa nakwenda "Recreation" Songwa ulifika ha ha ha umenikumbusha mbali sana 20+yrs back
Nimeogelea sana kwenye lile bwawa....yule mzee "chief" sijui aliishia wapi Msambaa yule
For all the ladies that I loved before....Jackie represents you all
Nana Et Baniel - Tremblement De Terre - YouTube
i also like that song.Kuna mwignine ulikuwa unaimba 'kidekule', nao naupenda.
Najikumbushia tu
Anne Missette wa Lucien Bokilo ni moto
HA ha ha ha, kumbe nyie mliendelea siku nyingi?
Enzi za Kanda bongoman nilikuwa Mwalimu wa Msingi Sangabuye, sikuwa na hela zaidi ya kanda.
Nimecheka, eti crusified.
Julie-Koffi olomide
AISEE......Pale "recreation" au kule "compound"?.....na huu bana.....imagine nilikuwa na GF Polisi!....life is just nostalgie
Kanda Bongo Man - Liza (Remake) - YouTube