Dada zetu punguzeni kuomba pesa mitandaoni

Dada zetu punguzeni kuomba pesa mitandaoni

Wengi wanakuwa waume za watu na wengine wanakuwa wanatafuta michepuko so dawa ni moja tu
Kuwaomba pesa.

Mimi nitaanza kukusumbua nilivyomiss kuombwa pesa andaa kabisa na kiasi cha kuniomba
 
Madada kama hayo yakipata mtoto akianza kuongoe tu akikuona anakuambia "Shikamoo anko naomba hela"

Ukoma unarithishwa..
 
Pale Kwa Qeen Elizabeth once mwanaume na mwanamke wanaamua kutoka out kila mtu huwa ni kwaBILL yake Tofaut na huku sijui kwann
 
Mtoa mada nakuunga mkono mpaka miguu!
Unakuta mdada kakomaa kukuomba pesa unamkalia kimya kumtunzia heshima anaanza kutuma vimeseji vya kipuuzi na dhihaka wakati ana njaa mpaka makalioni, sio lazima nikuambie sitaki. Nikikaa kimya inatosha kabsa kuelewa kuwa sitaki kukupa hela. Girls behave urself please, mnaboa sana!
Sio lazima kunyimwa kwa kuambiwa "sikupi" au "sitaki", sometimes silence means No, hasa pale unapomuomba mtu hela!
mnaogopa kusema no maana unakua bado unamendea pussy yake...teh
 
Siku hizi naona dada zetu mishipa ya aibu imekatika kabisa kiasi kwamba kuomba kwao sasa imekuwa kama ndio mfumo wa maisha yao.

Imefikia hata unaogopa kuzoeana nao kwani mkishazoeana kidogo tu wanaanza vibomu na sana sana huwa wanapenda kuomba 30,000 yaani inafikia kwa siku unaombwa pesa na wadada hata 5 mpaka unajiuliza kama hivi haya ndio maisha yanayowaweka kwenye mitandao au wale wachovu huwa wanaomba 10,000.

Dada zetu maisha yamekuwa magumu kila mtu aangalie maisha na familia yake sasa wakati wa kupeana pesa kirahisi rahisi umeshapita piga kazi upate pesa.
ooooh mi natoka kupigwa kibomu na mdada flan, hafu anapiga mzinga saa kumi na moja asubuhi!!!! wanaanza na salamu, ukijibu tu utasikia nyundo kaiweka kichwani kwako. "Paaaa"
 
sio mtandaoni tu popote umwonapo ukampenda haipiti dakika kumi hata jina hujamjua atakutumia msg nikuambie kitu ukisema niambie ninashida utanisaidia jitahidi ufunge simu haraka
Kumbe asilimia kubwa wanatumia njia zinazofanana🙂🙂🙂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom