Dada zetu punguzeni kuomba pesa mitandaoni

Dada zetu punguzeni kuomba pesa mitandaoni

Siku hizi naona Dada zetu mishipa ya aibu imekatika kabisa kiasi kwamba kuomba kwao sasa imekuwa kama ndio mfumo wa maisha yao.

Imefikia hata unaogooa kuzoeana nao kwani mkishazoeana kidogo tu wanaanza vibomu na sana sana huwa wanapenda kuomba 30.000 yaani inafikia kwa siku unaombwa pesa na Wadada hata 5 mpk unajiuliza kama hivi haya ndio maisha yanayowaweka kwenye mitandao au wale wachovu huwa wanaomba 10,000.

Dada zetu maisha yamekuwa magumu kila mtu aangalie maisha na familia yake sasa wakati wa kupeana pesa kirahisi rahisi umeshapita piga kazi upate pesa
Mimi akiniomba hela siku hiyo hiyo namban
 
sio mtandaoni tu popote umwonapo ukampenda haipiti dakika kumi hata jina hujamjua atakutumia msg nikuambie kitu ukisema niambie ninashida utanisaidia jitahidi ufunge simu haraka
hahahahaha ukisikia nikuambie kitu jua tayariiii.....mara nna njaa yaani ni vurugu tupu.
 
ile hela ya mtandaoni niliyokutumia kwenye tigo pesa umeipata dear?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeeeee nimechekaaaa sanaa!!
Ila nashukuru nimeipata,mbona hujatuma ya kutolea lakini dia,mbona unanifanyia hivyo
 
Pichi nyingine wa wadada mtandoni zinatumiwa tu na sii wadada, wengine ni wanaume wanatumia picha kuwapata wanaume wenye uchu wa ngono
 
hebu tumeni miamala hyo kwanza ni mwisho wa mwezi hela mnazo njooni pm niwape namba
 
Siku hizi naona Dada zetu mishipa ya aibu imekatika kabisa kiasi kwamba kuomba kwao sasa imekuwa kama ndio mfumo wa maisha yao.

Imefikia hata unaogooa kuzoeana nao kwani mkishazoeana kidogo tu wanaanza vibomu na sana sana huwa wanapenda kuomba 30.000 yaani inafikia kwa siku unaombwa pesa na Wadada hata 5 mpk unajiuliza kama hivi haya ndio maisha yanayowaweka kwenye mitandao au wale wachovu huwa wanaomba 10,000.

Dada zetu maisha yamekuwa magumu kila mtu aangalie maisha na familia yake sasa wakati wa kupeana pesa kirahisi rahisi umeshapita piga kazi upate pesa
Ninyi wenyewe ndio mnawazoeza, kwan akikuomba ww ukakausha kimya harudii tena anajua ww sio wa kispotispoti. Hiyo ndio dawa yao, kuna mmoja nilizoeana kiaina kazini nikashangaa tayar sms ya kuomba hela ikaingia bac pale pale nikablock no hadi leo hana mazoea na mm SIPENDAGI UJINGA MM yaani upewe hela kirahisi hivyo umekuwa mchanga huo
 
sioni maana ya kulalamika..
Inssue sio kulalamika lakini imekuwa kero sasa yaani %70 ni wapiga mizinga ukiona mdada anaaza yy kukusalimia inbox basi cha mwisho lazima ataomba pesa kiasi kwamba mtu unaogopa hata kujibu salam sasa
 
Mtoa mada nakuunga mkono mpaka miguu!
Unakuta mdada kakomaa kukuomba pesa unamkalia kimya kumtunzia heshima anaanza kutuma vimeseji vya kipuuzi na dhihaka wakati ana njaa mpaka makalioni, sio lazima nikuambie sitaki. Nikikaa kimya inatosha kabsa kuelewa kuwa sitaki kukupa hela. Girls behave urself please, mnaboa sana!
Sio lazima kunyimwa kwa kuambiwa "sikupi" au "sitaki", sometimes silence means No, hasa pale unapomuomba mtu hela!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom