alwatan yusuf
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 347
- 290
Hatopata papuchisi ukatae
Hatopata papuchisi ukatae
Uuuuu haya bhanaaa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]na nyie acheni kutongoza kwenye mitandao
Humuombi kitu ila mkishakuwa marafiki tu atajitahidi kukuzoea hadi akupige kirungu hapa Hatuzungumzii wanawake wote ila siku hizi wengi wao wanaenda less sanaaa nahisi huu ugumu wa maisha sasa unasababisha. Sikutanii nina hakika mi haipiti siku sijaombwa pesa na Wadada wawili au watatu na zaidi ingawa sijasema ni woteHapana!!! Ila mwanamke usipomtongoza bado atakuomba hela??? Huyo anaesema kuombwa na wanaeake watano!!! Wote ni marafiki tu au nayeye kuna kitu aliomba?
[emoji23] [emoji23] duuh! Poleni!!!Humuombi kitu ila mkishakuwa marafiki tu atajitahidi kukuzoea hadi akupige kirungu hapa Hatuzungumzii wanawake wote ila siku hizi wengi wao wanaenda less sanaaa nahisi huu ugumu wa maisha sasa unasababisha. Sikutanii nina hakika mi haipiti siku sijaombwa pesa na Wadada wawili au watatu na zaidi ingawa sijasema ni wote
Sikutaka hata kujadili mada.Hapana!!! Ila mwanamke usipomtongoza bado atakuomba hela??? Huyo anaesema kuombwa na wanaeake watano!!! Wote ni marafiki tu au nayeye kuna kitu aliomba?
Ni kweli!!! Mi nadhani mwanamke kuomba pesa ishakua tatizo... Haswa kwa waafrika... Tabia na aili ya kupenda miteremkoSikutaka hata kujadili mada.
Ila ngoja niseme.
Wanawake wapo wanaomba pesa hata kama sio mpenzi wako. Mfano ni ma x na marafiki wa kawaida .
Point yangu mwanamke anayekosea au mwanaume anayekosea asisafishwe na mwanamme au mwanamke anayekosea.
Kuomba sio vibaya ila kuombaomba wakati una nguvu na uwezo ni mbaya. Kaka na baba wa watoto wa kiume ni vyema wakajitahidi kwa hili.Ni kweli!!! Mi nadhani mwanamke kuomba pesa ishakua tatizo... Haswa kwa waafrika... Tabia na aili ya kupenda miteremko
Teh teh tehsio mtandaoni tu popote umwonapo ukampenda haipiti dakika kumi hata jina hujamjua atakutumia msg nikuambie kitu ukisema niambie ninashida utanisaidia jitahidi ufunge simu haraka
Akikunyima njoo kwangu!Ngoja nimfuate mtoa mada pm nikamuombe hela,,,dawa ya moto ni moto tu hadi litokee bome
Toa ndugu toa ndugu ulichonachooooooo nimekumbuka sunday schoolAkikunyima njoo kwangu!
NikikupaKama unanisumbuasumbua nakuomba ili unipotezee
Utageuka ATM mpaka ujitambueNikikupa
Vice versa is true...[emoji12] [emoji1] [emoji1]Siku hizi naona Dada zetu mishipa ya aibu imekatika kabisa kiasi kwamba kuomba kwao sasa imekuwa kama ndio mfumo wa maisha yao.
Imefikia hata unaogooa kuzoeana nao kwani mkishazoeana kidogo tu wanaanza vibomu na sana sana huwa wanapenda kuomba 30.000 yaani inafikia kwa siku unaombwa pesa na Wadada hata 5 mpk unajiuliza kama hivi haya ndio maisha yanayowaweka kwenye mitandao au wale wachovu huwa wanaomba 10,000.
Dada zetu maisha yamekuwa magumu kila mtu aangalie maisha na familia yake sasa wakati wa kupeana pesa kirahisi rahisi umeshapita piga kazi upate pesa
Hahahahaaa! Kabisa yaani.Hebu tupatieni hizo hela bana. Mtabarikiwa mjue
Aseeh sasa mbona tukijitambua mapema mnatuita wanaume suruali..mabahili!Utageuka ATM mpaka ujitambue