Dada zetu punguzeni kuomba pesa mitandaoni

Siku hizi naona dada zetu mishipa ya aibu imekatika kabisa kiasi kwamba kuomba kwao sasa imekuwa kama ndio mfumo wa maisha yao.

Imefikia hata unaogopa kuzoeana nao kwani mkishazoeana kidogo tu wanaanza vibomu na sana sana huwa wanapenda kuomba 30,000 yaani inafikia kwa siku unaombwa pesa na wadada hata 5 mpaka unajiuliza kama hivi haya ndio maisha yanayowaweka kwenye mitandao au wale wachovu huwa wanaomba 10,000.

Dada zetu maisha yamekuwa magumu kila mtu aangalie maisha na familia yake sasa wakati wa kupeana pesa kirahisi rahisi umeshapita piga kazi upate pesa.
Wanaboa saña hawa mm leo kanianza yy kunitext tumechart kidogo tu hata hatujafahamiana vizuri, et anaanza kunambia nitumie elfu kumi ninunue luku, nikamwambia uza sim ununue luku
 
Kwa raha zangu miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hahahaah

Wacha nifunge domo langu
 
Siku hizi naona dada zetu mishipa ya aibu imekatika kabisa kiasi kwamba kuomba kwao sasa imekuwa kama ndio mfumo wa maisha yao.

Imefikia hata unaogopa kuzoeana nao kwani mkishazoeana kidogo tu wanaanza vibomu na sana sana huwa wanapenda kuomba 30,000 yaani inafikia kwa siku unaombwa pesa na wadada hata 5 mpaka unajiuliza kama hivi haya ndio maisha yanayowaweka kwenye mitandao au wale wachovu huwa wanaomba 10,000.

Dada zetu maisha yamekuwa magumu kila mtu aangalie maisha na familia yake sasa wakati wa kupeana pesa kirahisi rahisi umeshapita piga kazi upate pesa.
Badoo ndo wa kupiga mizinga hyo wamejaa nihivii siku hz machangudoa wamehamia mitandai kijamii wanajiuza kidijitali
 
na nyie acheni kutongoza kwenye mitandao
Iko ivi. Unaombwa friend request mfano fb au insta. Pale unapoaccept inakuja sms ya mambo. Ukijibu poa. Utaombwa hapohapo na wakikuambia kuwa mtatafutana. Hii imezidi wadada wamegeuza mitandao dangulo. Na anakutumia picha zake za nusu uchi.
 
umuombe mtu hela from no where ?
 
Wengi wao ni midume alafu akikupa namba ya cm ukipiga haipokelewi atakwambia tuma text
 
Nilidhani tatizo hili ninalo mimi tu.Wadada mmekuwaje siku hizi?Wengi wanaomba kwenye range ya 20,000-30,000 halafu approaches za maombi zinafanana.Wanafunga na neno "my" wakimasnisha "mine" nadhani
 
7aba37e450070e09c86be1d77bce6986.jpg
 
Mmmh. Wakaka sikieni msijitie nyie watakatifu sana nyie mbona mnaongoza kuomba mbunye za wadada tofauti na wao wanavyoomba mizigo yenu? Wadada wa5 wote wakuombe wewe mmoja Mna relation gani between Hao wote with you?? Wengine wanawaomba ela muache kuwasumbua pumbavu zenu muelewe. Punguzeni kuwaomba mbunye
 
Mtu anakwambia nina shida ya elf 50...saa 1 asbh,plz.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom