Dada zetu punguzeni kuomba pesa mitandaoni

Dada zetu punguzeni kuomba pesa mitandaoni

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeeeee nimechekaaaa sanaa!!
Ila nashukuru nimeipata,mbona hujatuma ya kutolea lakini dia,mbona unanifanyia hivyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanaomba mtandao gani jaman
Tujuzeni jamani
Unajiunga huko then unaanza kuomba au inakuwaje
Nataka nihiunge nijaribu bahat yangu
 
Ukiomba na Wewe jiandae Kuombwa.

Chunga Sana unaweza ombwa na dume jenzio limejipachika jina la kike ili kupata urahisi wa kupewa na Wale malimbukeni wa papuchi.
 
sio mtandaoni tu popote umwonapo ukampenda haipiti dakika kumi hata jina hujamjua atakutumia msg nikuambie kitu ukisema niambie ninashida utanisaidia jitahidi ufunge simu haraka
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hawa viumbe aisee Mimi hua siwaelewi, hata kama ukikutana nae saa nane usiku atakwambia hajala dah.
 
sio mtandaoni tu popote umwonapo ukampenda haipiti dakika kumi hata jina hujamjua atakutumia msg nikuambie kitu ukisema niambie ninashida utanisaidia jitahidi ufunge simu haraka
[emoji16][emoji16]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom