Dada zetu punguzeni kuomba pesa mitandaoni

Dada zetu punguzeni kuomba pesa mitandaoni

Sasa hivi wamekuja na style moja hivi, wanaomba chini ya buku kumi coz wanaona huto jiuliza sana kutoa..
 
Kuna mmoja juz aliniomba laki na ishirini daaah kama kawaida yng huwa si vungi nikapiga chini
 
Kuna mmoja juz aliniomba laki na ishirini daaah kama kawaida yng huwa si vungi nikapiga chini
tena unapiga chini ile ya kimya kimya haambiwi kitu ila mwenyewe anaelewa mchezo!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom