Dada zetu mnaboa kutuonyesha miraba ya nguo zenu za ndani

Dada zetu mnaboa kutuonyesha miraba ya nguo zenu za ndani

Nimekupata mdogo wango, Kama mzuri hata ukivaa gunia utatambulika tu. Mbona wavaa hijab tunawajua walio wazuri na wabovu wa umbo?

Nakubaliana na wewe miwatamu.uzuri wa mtu kigezo tabia si maumbile yake
 
DADANGU kaunga MBONA UNABOMOKA HIVYO WAKATI UNAELEZWA UKWELI. Kumbuka huu ni wakati wa Shetani kushika hatamu hasa kupitia kwa dada zetu, inabidi kusali sana.

Hivi, dhambi huanzia wapi?
Imetokea nimevaa gauni au sketi na michirizi ya chupi ikaonekana tayari wewe unazini kimoyo moyo. Na wale wanawabaka watoto na vibibi nao wanakuwa michirizi inakuwa inaonekana. Dhambi ya kutamani huanzia moyoni mwa mtu; na moyo huona hata yale yasiyoonekana kwa macho. Kuna watu ambao ni hodari kuvua watu nguo kwa hisia tu na kuzini moyoni. As you say, vita ni kubwa na ili kushinda vita ni lazima ujue source ya mgogoro; ni bahati mbaya sana kwa ninyi wanaume siku zote mnatafuta watu wa kuwatupia lawama; lakini sio jipya hili, kwani hata Adamu alisema "si huyo mwanamke ulionipa amenipa tunda nami nikala".

Kwanza kamlaumu Mungu kwa kumpa mwanamke (indirectly) lakini kamlaumu mwanamke na kasahau kujilaumu yeye na udhaifu wake; kwani alikuwa ana uwezo wa kusema hapana.

Vishawishi vitakuwepo na vitaendelea kuwepo hata kama tukivaa magunia, wenye heri wale wenye uwezo wa kuvishinda hivyo vishawishi. By the way, hufikiri nasi huwa tunahamasika na wanaume wakipita barabarani? Do we blame or complain to you? No, tunajizuia na kujilaumu wenyewe na mioyo yetu dhaifu, na after that tunaibuka tukiwa more strong!

Mwisho, urabuni ambako wanavaa mahijab hawabakwi?

"Khawla Muhammad alimuoa Safiya baada ya kumchinja mumewe na watu wa kabila la Banu Quraza (Bukhari juzuu ya 2 kitabu cha 14 sura ya 5 na.68 uk. 35, Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 52 sura ya 168 baada ya na.280 uk.175 – 176.)
Kulikuwa na pigo Saudi Arabia, kwani wanawake wageni walioenda huko kama wafanyakazi wa ndani, walilazimishwa kuwa watumwa wanaotumikishwa kingono (sex slaves). Hata hivyo huwezi kuwashitaki wanaume wa ki-Saudi wanaofanya unafiki wa jinsi hii. Kwa mujibu wa tamaduni za dini yao, inarushusiwa kumlazimisha mtumwa wa kike kulala naye. Tazama Bukhari juzuu ya 3 kitabu cha 34 sura ya 111 na.432 uk.237; juzuu ya 3 kitabu cha 34 sura ya 113 baada ya na.436 uk.239-240; juzuu ya 5 kitabu cha 59 sura ya 31 na.459 uk.317; juzuu ya 8 kitabu cha 76 sura ya 3 na.600 uk.391; Sahih Muslim juzuu ya 2 kitabu cha 8 sura ya 560 na.3571 uk.732-733.
Gazeti la London Economist (6 Jan.1990) liliripoti kuwa Waislam wa Sudan wanawatumikisha wanawake na watoto wa kabila la Wadinka. Tarehe 4 Mei 1992, toleo maalum la Newsweek linalohusu utumwa pia liiripoti kuwa Waislam bado wanawatumikisha Waafrika sawa na gazeti la Austin American Statesman la tarehe 2/2/96. Jarida la Reader’s Digest la 3/1996 uk.77-81 liliripoti kuwa "Kurudi kwa aibu kwa utumwa Afrika" ni jambo la ukandamizaji wenye kuvunja moyo.Khawla Muhammad alimuoa Safiya baada ya kumchinja mumewe na watu wa kabila la Banu Quraza (Bukhari juzuu ya 2 kitabu cha 14 sura ya 5 na.68 uk. 35, Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 52 sura ya 168 baada ya na.280 uk.175 – 176.)
Kulikuwa na pigo Saudi Arabia, kwani wanawake wageni walioenda huko kama wafanyakazi wa ndani, walilazimishwa kuwa watumwa wanaotumikishwa kingono (sex slaves). Hata hivyo huwezi kuwashitaki wanaume wa ki-Saudi wanaofanya unafiki wa jinsi hii. Kwa mujibu wa tamaduni za dini yao, inarushusiwa kumlazimisha mtumwa wa kike kulala naye. Tazama Bukhari juzuu ya 3 kitabu cha 34 sura ya 111 na.432 uk.237; juzuu ya 3 kitabu cha 34 sura ya 113 baada ya na.436 uk.239-240; juzuu ya 5 kitabu cha 59 sura ya 31 na.459 uk.317; juzuu ya 8 kitabu cha 76 sura ya 3 na.600 uk.391; Sahih Muslim juzuu ya 2 kitabu cha 8 sura ya 560 na.3571 uk.732-733.
Gazeti la London Economist (6 Jan.1990) liliripoti kuwa Waislam wa Sudan wanawatumikisha wanawake na watoto wa kabila la Wadinka. Tarehe 4 Mei 1992, toleo maalum la Newsweek linalohusu utumwa pia liiripoti kuwa Waislam bado wanawatumikisha Waafrika sawa na gazeti la Austin American Statesman la tarehe 2/2/96. Jarida la Reader’s Digest la 3/1996 uk.77-81 liliripoti kuwa "Kurudi kwa aibu kwa utumwa Afrika" ni jambo la ukandamizaji wenye kuvunja moyo.
"


Source: sehemu ya post moja humu JF iliyokuwa na kichwa 'Chimbuko la Uislam'
 
Mi napenda sana mistari ya ch.pi kuliko hata ch*pi yenyewe. Ukiongeza kikuku na sketi/gauni fupi na shanga naweza faint.
 
kata%20k.jpg






Kama hawa?View attachment 80082
 
Na vile vile nyie wanaume wenzangu mnao kaa vifua wazi, huku mkionyesha mikono , vifua , na six packs na wengine mkiwa mmevaa bukta tukiona mapaja yame nona kwa misuli, hamjui mnatutesa sana na sisi wengine? na nyie Masharobaro, mnao vaa vibody na tight jeans huku mkiwa warefu wembamba, jamani pia matutendei haki sisi pia , mna tupa wakati mgumu sana.

Nikama cjakuelewa hivii mkuu...kiaje jombaa fafanua .
 
MSEVENI upo wapi??
hembu njoo na tz utuondolee huu upuuuzi.ni ww pekee uliyeweza a.mashariki
 
sasa cousin shemeji (sie kwetu ni mwikooo kabisaaaa!), huyo bibie hana heshima hata kidogo. Ni kweli tunazivaa, it is the most comfy wear hasa na trouser kuepuka mistari. Lakini nikupe mfano, my nephew (kama 5years older than me) tunapendana sana na kusindikizana many places. I love shopping for underwears. Lakini nikiona sale kwenye fav shop yangu nitamuambia tusimame, lakini hathubutu kuingia dukani na mie. Na hata akitaka kumnunulia gf wake pichu ama nightie, mie ntabaki garini nampeleka kwa duka tu. Atashauriwa na wauzaji! Hiyo ndo heshima. Shopping for underwear is intimate kwangu na naweza kufanya hivyo na l'aziz tuu. Otjerwise my close galfriends ama mdogo wangu anaweza kuninunulia kama zawadi. I wont accept a gift ya underwear ama bra kutoka kwa mwanaume asiye wangu, not even my bro. Nahisi kama ananichungulia nikiivaa, ushamba sijui lakini that is my style.
King'a, hii kitu sikuiona!, kiukweli hivi ndivyo wanawake wenye heshima zao mnatakiwa mjiheshimu!, the way one dresses shows her upstairs kukoje!, kuna wadada, wamama na sister zetu wanavaa kiajabu kweli kweli mpaka unajiuliza kama kichwani zimo?!.

Yule dada kutaka zawadi ile was "an invitation to treaty!", wengine wenu, mna makusudi!, sometimes mnafanya tuu makusudi, m-bomiwe, mtutolee nje ili kujidai na kuhadithia fulani alinitaka!.

Pasco
 
Wabongo bana,
Wakiiga na kuvaa minguo ya winter ya nchi za magharibi eti hiyo inakuwa ni fasheni wakati Tanzania joto la wastani ni 30'C, lakini wakiiga nguo za summer za watu wa magharibi eti unakuwa ni uhuni.

Tatizo siyo la mvaaji, bali ni wewe mtazamaji. Why you mind other people's business. Huo ndio umbea.

Mbona huku magharibi watu wanavaa nusu uchi lakini huwezi sikia eti malalamiko na kubakwa.

Tubadilike
na ushoga turuhusu!?. mazingira na tamaduni hazifanani.
 
Back
Top Bottom