Imekuwa ni kawaida sana kwa dada zetu kuvaa nguo ambazo zimekuwa zinatuonyesha amevaa nguo ya ndan ambayo ina ukubwa kisi gan hasa pale uangaliapo miraba yake na mbaya zaidi nygne hata rangi zake huwa zinaonekana ! Ndo kututega au ?
Mi naona kama huwa wanavutia .... mana utamu wa hii kitu ule kiwizi wizi kama hivo ila ukifunuliwa utamu huwa unapotea.....
Inanoga sana na inapandisha mihemko ukila kwa macho ila inatia faraja uionapo uipate ili uiridhishe nafsi yako.
Imekuwa ni kawaida sana kwa dada zetu kuvaa nguo ambazo zimekuwa zinatuonyesha amevaa nguo ya ndan ambayo ina ukubwa kisi gan hasa pale uangaliapo miraba yake na mbaya zaidi nygne hata rangi zake huwa zinaonekana ! Ndo kututega au ?
Ndo usasa, akivaa hivyo mke wa mtu, hapo ndio sio sawa, lakini hao wengi, ni halali yao!, asipovaa vile wewe utajuaje?, ukiona hivyo ujue ndio mwaliko wenyewe, sio kila kitu mpaka uambiwe!. Tena si ni afadhali hao wamezivaa hadi unayaona mapito yake, jee ukikutana na hawa wanaovaa vi skin ndani wana g-string, hivyo unaona kama hawajavaa kitu huku manyonyo yamebinuliwa nje kama madodo bivu?!, ungesemaje?!.
Huu ndio usasa wenyewe, tukizidi kuendelea, watazivua kabisa!. Mara yangu ya kwanza kufiki Rome ilikuwa ni summer time, mbona macho yalishiba!, ingekuwa mtu unanenepa kwa kula kwa macho, ningepasuka!.
P.