Dada zetu mnaboa kutuonyesha miraba ya nguo zenu za ndani

Kusema ukweli mi huwa napenda kuziona kufuli za wadada hasa wa ofisi yaan hata kama una msongo wako lazima upotee!
Ila hata sisi vidume mbona wengi tu wana onyesha miboxer yao tena michafuuu!...

sasa kuna utofaut cz ya kwao pnd uonapo tu na wewe unaanza kuchora ilipoanzia mpka inapopita kwenye makalio !
 
Ujumbe Ungewapelekea Wengine Huko Mtaani Kwenu, Humu Tuna Wadada Wazuri Wanaojielewa Na Kuficha Hazala Za Miili Ya Laini Hisiyo Isha Hamu Ya Kutazama, Miili Yenye Upekee Ung'aao Kiasiri Zaidi Na Mvuto..
Wala Hayajui Hayo!

naona unajipgia promo labda atajitokeza mmoja ucjali
 
Wabongo bana,
Wakiiga na kuvaa minguo ya winter ya nchi za magharibi eti hiyo inakuwa ni fasheni wakati Tanzania joto la wastani ni 30'C, lakini wakiiga nguo za summer za watu wa magharibi eti unakuwa ni uhuni.

Tatizo siyo la mvaaji, bali ni wewe mtazamaji. Why you mind other people's business. Huo ndio umbea.

Mbona huku magharibi watu wanavaa nusu uchi lakini huwezi sikia eti malalamiko na kubakwa.

Tubadilike

stimuli za magharibi na za hku kwetu bhana ! Za kwetu hazina adabu cjui kwa kuwa tunaishi kwa kubanwa hazichelew kuonyesha max deflection kama galvanometer
 
Yaani nna swali nilipgopa kukuuliza kulee, ila sada nahisi unajiendekeza. Samahani lakini.
Na vile vile nyie wanaume wenzangu mnao kaa vifua wazi, huku mkionyesha mikono , vifua , na six packs na wengine mkiwa mmevaa bukta tukiona mapaja yame nona kwa misuli, hamjui mnatutesa sana na sisi wengine? na nyie Masharobaro, mnao vaa vibody na tight jeans huku mkiwa warefu wembamba, jamani pia matutendei haki sisi pia , mna tupa wakati mgumu sana.
 
Kama ni hivyo, hilo haliwezi kuwa ni tatizo la wale wanaovaa nguo zinazoonyesha 'miraba' bali ni lenu ambao stimuli zenu hazina adabu.
 
Kwa hiyo uncle shemeji, unataka kutuambia wake za watu wakivaa g-string ni makosa? Lipi kosa zaidi, kuvaa gstring na skin tite ama kuvaa teitei na mistari ionekane? Manake kwa maumbo mengine hata uvae dera mistri itaonekana tu. Na binafsi huwa naona sio adabu hata kidogo kutembeza mistari ya pichu kama tangazo ( among my friends kuna kitu tunaita bad pant day ama bpd. Unakuta mistari inaonekana na haiko balanced. Conclusion ni kuwa imefyata, lol)
Ndo usasa, akivaa hivyo mke wa mtu, hapo ndio sio sawa, lakini hao wengi, ni halali yao!, asipovaa vile wewe utajuaje?, ukiona hivyo ujue ndio mwaliko wenyewe, sio kila kitu mpaka uambiwe!. Tena si ni afadhali hao wamezivaa hadi unayaona mapito yake, jee ukikutana na hawa wanaovaa vi skin ndani wana g-string, hivyo unaona kama hawajavaa kitu huku manyonyo yamebinuliwa nje kama madodo bivu?!, ungesemaje?!.

Huu ndio usasa wenyewe, tukizidi kuendelea, watazivua kabisa!. Mara yangu ya kwanza kufiki Rome ilikuwa ni summer time, mbona macho yalishiba!, ingekuwa mtu unanenepa kwa kula kwa macho, ningepasuka!.
P.
 
Yaani nna swali nilipgopa kukuuliza kulee, ila sada nahisi unajiendekeza. Samahani lakini.
unestukia eeh, hata mie kule nimesoma weeeeeeeeeeeeee nikataka nicomment nikaacha, nilihiisi uanaume wangu kujeruhiwa zaidi, sasa ivi hata kusalimiana kwa kushikana mikono na mwanaume mwenzangu naogopa/
 
Wewe ni she, male or shemale?We jamaa vipi, sasa mwanume mwenzako anakutesaje?jiangalie ww
Na vile vile nyie wanaume wenzangu mnao kaa vifua wazi, huku mkionyesha mikono , vifua , na six packs na wengine mkiwa mmevaa bukta tukiona mapaja yame nona kwa misuli, hamjui mnatutesa sana na sisi wengine? na nyie Masharobaro, mnao vaa vibody na tight jeans huku mkiwa warefu wembamba, jamani pia matutendei haki sisi pia , mna tupa wakati mgumu sana.
 
we bwana ulietoa mada unataka utuharibie burudan zetu tunazopewa free of charge barabaran, kina dada msimsikilize huyu jamaa huwa mnapendeza na kutufanya tuwe na hasira ya kusaka mkwanja
 
Kwa hiyo uncle shemeji, unataka kutuambia wake za watu wakivaa g-string ni makosa? Lipi kosa zaidi, kuvaa gstring na skin tite ama kuvaa teitei na mistari ionekane? Manake kwa maumbo mengine hata uvae dera mistri itaonekana tu. Na binafsi huwa naona sio adabu hata kidogo kutembeza mistari ya pichu kama tangazo ( among my friends kuna kitu tunaita bad pant day ama bpd. Unakuta mistari inaonekana na haiko balanced. Conclusion ni kuwa imefyata, lol)
Mkuu King'asti, (hii uncle shemeji kivipi?!) Nilimaanisha wale waovaa hivyo, wanavaa makusudi ili kutoa mwaliko!, ndipo nikasema kwa madada single, ile ni halali yao!, wanatangaza biashara yao kwa kuzitandaza bidhaa sokoni ili watu waone na wanunue ili nao wapate!, kosa ni kwa mke wa mtu kutangaza biashara kwa kutandaza bidhaa sikoni!. Najua kuna wake za watu wengi tuu wanafanya biashara haswa maofisini na wateja wakuu ni mabosi!, ile biashara ile ni kimya kimya na sio "biashara matangazo!".

Happy & Prosperous New Year 2013!.

Pasco
 
Dawa ni kutovaa chupi ili michirizi isionekane.
 
unestukia eeh, hata mie kule nimesoma weeeeeeeeeeeeee nikataka nicomment nikaacha, nilihiisi uanaume wangu kujeruhiwa zaidi, sasa ivi hata kusalimiana kwa kushikana mikono na mwanaume mwenzangu naogopa/
unaweza kubakwa, ohooo! Kule nilimuhurumia ila nadhani ilikuwa tangazo fulani. You are what you think, ukiendekeza hayo mawazo mbona wafwaa!
 
Mkuu King'asti, (hii uncle shemeji kivipi?!) Nilimaanisha wale waovaa hivyo, wanavaa makusudi ili kutoa mwaliko!, ndipo nikasema kwa madada single, ile ni halali yao!, wanatangaza biashara yao kwa kuzitandaza bidhaa sokoni ili watu waone na wanunue ili nao wapate!, kosa ni kwa mke wa mtu kutangaza biashara kwa kutandaza bidhaa sikoni!. Najua kuna wake za watu wengi tuu wanafanya biashara haswa maofisini na wateja wakuu ni mabosi!, ile biashara ile ni kimya kimya na sio "biashara matangazo!".

Happy & Prosperous New Year 2013!.

Pasco

hiyo uncle-shemeji usiiogope manake wewe ni selebriti, tuna undugu wa kisirisiri hehehe. Afu we are cousins too.
Bado haujanijibu, kwa kuvaa gstring na skin tite ni kutangaza biashara? Nani anaona ama kujua unless anafunua? Kama ni kutepeta mwili hiyo ni kwa kukosa mazoezi kama sio genetic, haihusiani na kuvaa teitei ama la. Sasa wake za watu ndo wasivae gstring, na wavae teitei waonyeshe mistari ya pichu?
 
Kwa hiyo uncle shemeji, unataka kutuambia wake za watu wakivaa g-string ni makosa? Lipi kosa zaidi, kuvaa gstring na skin tite ama kuvaa teitei na mistari ionekane? Manake kwa maumbo mengine hata uvae dera mistri itaonekana tu. Na binafsi huwa naona sio adabu hata kidogo kutembeza mistari ya pichu kama tangazo ( among my friends kuna kitu tunaita bad pant day ama bpd. Unakuta mistari inaonekana na haiko balanced. Conclusion ni kuwa imefyata, lol)

bora umeongea muhusika !
 
Bora hao wanaonyesha wamevaa...Je ukiwaona wale ambao hawavai kabisa???
 
Back
Top Bottom