Dada zetu mnaboa kutuonyesha miraba ya nguo zenu za ndani

Imekuwa ni kawaida sana kwa dada zetu kuvaa nguo ambazo zimekuwa zinatuonyesha amevaa nguo ya ndan ambayo ina ukubwa kisi gan hasa pale uangaliapo miraba yake na mbaya zaidi nygne hata rangi zake huwa zinaonekana ! Ndo kututega au ?

Kweli ni tabia mbaya. Vp na ile mijanadume inayoonyesha maboxer yao?
 
Mwanamke mmoja aliniuliza ET MKIONA NGUO ZA NDAN MNAPATA HISIA GAN??
 
Hii huwa inanoga sana hasa pale mwanamke anapokuwa na wowuwo lakin makalio yamepigwa pasi mh unajicholesha tu
 
nakushauri usiwe unawaangalia hao watu
kwani watakupelekea dhambini na kumkosa Mungu wako bure

wewe angalia kando tena achana nao uisiwakodolee mimacho

Imekuwa ni kawaida sana kwa dada zetu kuvaa nguo ambazo zimekuwa zinatuonyesha amevaa nguo ya ndan ambayo ina ukubwa kisi gan hasa pale uangaliapo miraba yake na mbaya zaidi nygne hata rangi zake huwa zinaonekana ! Ndo kututega au ?
 
Na vile vile nyie wanaume wenzangu mnao kaa vifua wazi, huku mkionyesha mikono , vifua , na six packs na wengine mkiwa mmevaa bukta tukiona mapaja yame nona kwa misuli, hamjui mnatutesa sana na sisi wengine? na nyie Masharobaro, mnao vaa vibody na tight jeans huku mkiwa warefu wembamba, jamani pia matutendei haki sisi pia , mna tupa wakati mgumu sana.

mvi zangu zimekimbilia six pack full singland
 
nakushauri usiwe unawaangalia hao watu
kwani watakupelekea dhambini na kumkosa Mungu wako bure

wewe angalia kando tena achana nao uisiwakodolee mimacho

Macho hayana pazia yana mlango ukifungua tu lazima uone
 
na ushoga turuhusu!?. mazingira na tamaduni hazifanani.
Hivi Tanzania kuna mazingira na tamaduni gani wanazozifuata kama Taifa?.

Ukienda kwenye urban area unachokutana nacho ni Western lifestyle ambayo kwa sasa imeanza kumea mpaka vijijini.

Tamaduni unazozisema kwa sasa zinakufa kifo cha membe kutokana na mazingira ya kijamii kubadilika na sitashangaa kama ushoga utakuwa nao ni habari ya 'town' kabla haijaingia kwenye sheria za nchi kama ruksa. Haya ndiyo mabadiliko ya 'kimaendeleo' yanayoshika kasi kwa sasa katika nchi zinazoitwa za 'dunia ya tatu'. Unaweza ukakataa kukubaliana na mimi lakini huu ndiyo ukweli.

It seems only a matter of time before joining a line of 'change'.
 
ww miraba ya chupi tu unamind,je nyie mnavyotembeaga boxer nje?nyi ndo mnakera balaa.halaf unakuta boxer chafuuu mwenyewe ndo anapuyanga kama bodaboda hata habr hana.bora uone mraba ujue huyo kavaa chupi.ucpoona tu shtuka mana cku hz hazivaliwi wanadai joto
 
hahaha Pasco umenichekesha. hata nilishasahau hii. Kiukweli hata tabia ya kuomba zawadi siipendi kabisa (na wanaume wapo bwana. yaani usiage mtu unasafiri, anadai kama alikukatia tikiti vile, mweeh).

wanawake baadhi tuna tabia ya kujilengesha ili tutokewe. ila pia ni statistic nzuri kwangu (na Kongosho najua pia heheh), kuwa nna marafiki wanaume mia kidogo na only 10% ndio walionitokea. it defines how i send signals and my body language pia. ila narudia tena, zawadi ya underwear hata kwa mdada asiekuwa karibu nami naiona ajabu, ntaigawa.
King'a, hii kitu sikuiona!, kiukweli hivi ndivyo wanawake wenye heshima zao mnatakiwa mjiheshimu!, the way one dresses shows her upstairs kukoje!, kuna wadada, wamama na sister zetu wanavaa kiajabu kweli kweli mpaka unajiuliza kama kichwani zimo?!.

Yule dada kutaka zawadi ile was "an invitation to treaty!", wengine wenu, mna makusudi!, sometimes mnafanya tuu makusudi, m-bomiwe, mtutolee nje ili kujidai na kuhadithia fulani alinitaka!.

Pasco
 
Last edited by a moderator:
hahaha Pasco umenichekesha. hata nilishasahau hii. Kiukweli hata tabia ya kuomba zawadi siipendi kabisa (na wanaume wapo bwana. yaani usiage mtu unasafiri, anadai kama alikukatia tikiti vile, mweeh).

wanawake baadhi tuna tabia ya kujilengesha ili tutokewe. ila pia ni statistic nzuri kwangu (na Kongosho najua pia heheh), kuwa nna marafiki wanaume mia kidogo na only 10% ndio walionitokea. it defines how i send signals and my body language pia. ila narudia tena, zawadi ya underwear hata kwa mdada asiekuwa karibu nami naiona ajabu, ntaigawa.
King'aa, na nyinyi dada zetu nanyi pia mpunguze makusudi!. Mtu unajujua "umejaaliwa!", halafu unavaa vinguo "vilee" kuonyeshwa mishape na mifigure huku wenyewe mkijidai its only a dressing!, rtena eti mmejivalia tuu, kumbe wengine ni ili watu "tuone!", na wengine wetu kama akina sisi "dhaifu", macho yakiona tuu, na moyo unaanza tetereka!, mwisho wa siku tunaishia kutesana tuu!.

Mimi natoka big extended family na kazi yetu hii ya habari, temptations kila kona!, na "marafiki" kibao!. Nikisafiri kurudi bila "vijizawadi" lawama!. Huwa nabakiza tujisenti, mara nyingi nachagua ndege za night stop na airport transfer kama Emirates kulala Dubai, au Quater kulala Doha, huko unabeba vile vizaga zaga kibao vya dirhams moja moja na kumletea karibu kila "ninahii!", na siku hizi Wachina walivyotapakaa!. Unalipa 10 dirhams pale Dubai, unanunua cheap skin tight 12 kwa "dada" zetu, ukijumlisha na vi handkerchiefs na vile vijiperfum viduchu!, hakuna lawama kabisa kila "mtu" anapata.

Ila kweli pia wadada wa siku hizi!, wengine wana mambo ya ajabu!, zamani lazima ukataliwe, hata kama unapendwa, unakataliwa kwanza ili uonyesha unataka kweli!, siku hizi!, mmekutana tuu first time, umemchangamkia tuu, kontact imeombwa, kesho yake utasalimiwa kwa sms, keshokutwa yake mzinga!, ukitekeleza tuu sasa unaitwa "baby nimekumiss kweli!"
Pasco.
 
nakushauri usiwe unawaangalia hao watu
kwani watakupelekea dhambini na kumkosa Mungu wako bure

wewe angalia kando tena achana nao uisiwakodolee mimacho

impossible..! haiwezekani kabisa usimwangalie.. hao wenye hijabu tu kuna watu wanaangalia, sembuse hawa wengine wenye vibana msuli? hahaa!!

hizo ni fahari za macho wakati mwingine...
 
He he he he, once in a while kutongozwa kama njia ya kumrusha mtu roho?? Bad girl!

Kuna watu wanaomba hadi outing wanawake, unabaki unashangaa tu. Na kuhusu zawadi kuna wengine hawajui watoe zawadi gani kwa mtu gani. Underwear hutolewa kwa watu walio karibu sana. Mie kuna mmama aliwahi nipa moja nikaitupa kabisa. Nikaona asije nikaanga mayai yangu bure.

hahaha Pasco umenichekesha. hata nilishasahau hii. Kiukweli hata tabia ya kuomba zawadi siipendi kabisa (na wanaume wapo bwana. yaani usiage mtu unasafiri, anadai kama alikukatia tikiti vile, mweeh).

wanawake baadhi tuna tabia ya kujilengesha ili tutokewe. ila pia ni statistic nzuri kwangu (na Kongosho najua pia heheh), kuwa nna marafiki wanaume mia kidogo na only 10% ndio walionitokea. it defines how i send signals and my body language pia. ila narudia tena, zawadi ya underwear hata kwa mdada asiekuwa karibu nami naiona ajabu, ntaigawa.
 
......."pamba zibane, ni hatari....ni makusudi tuone mstari wa kufuli".....................Mwana FA.
 
Shida yako unataka kufurahisha kila mtu, kuwaweka akiba. Mie nilishajigundulia, nikisafiri siagi.Na naweza nisimuage hata babangu lol. Na mtu anaenidai zawadi automatically hastahili manake wale nnaowaletea zawadi hawadai na wao huwa siwadai na wananiletea tu kwa upendo.

Ila hapo kwenye nguo sina msaada. sasa kama nimejaaliwa mie makalio niyaache home? na kama kuna joto na kikaptula ama leggings ndio vazi comfortable ntavaa tu, vaa miwani ya mbao. na mie ukinisalimia nakukata jicho wala hurudii kusalimia hahaha. pole sana.
King'aa, na nyinyi dada zetu nanyi pia mpunguze makusudi!. Mtu unajujua "umejaaliwa!", halafu unavaa vinguo "vilee" kuonyeshwa mishape na mifigure huku wenyewe mkijidai its only a dressing!, rtena eti mmejivalia tuu, kumbe wengine ni ili watu "tuone!", na wengine wetu kama akina sisi "dhaifu", macho yakiona tuu, na moyo unaanza tetereka!, mwisho wa siku tunaishia kutesana tuu!.

Mimi natoka big extended family na kazi yetu hii ya habari, temptations kila kona!, na "marafiki" kibao!. Nikisafiri kurudi bila "vijizawadi" lawama!. Huwa nabakiza tujisenti, mara nyingi nachagua ndege za night stop na airport transfer kama Emirates kulala Dubai, au Quater kulala Doha, huko unabeba vile vizaga zaga kibao vya dirhams moja moja na kumletea karibu kila "ninahii!", na siku hizi Wachina walivyotapakaa!. Unalipa 10 dirhams pale Dubai, unanunua cheap skin tight 12 kwa "dada" zetu, ukijumlisha na vi handkerchiefs na vile vijiperfum viduchu!, hakuna lawama kabisa kila "mtu" anapata.

Ila kweli pia wadada wa siku hizi!, wengine wana mambo ya ajabu!, zamani lazima ukataliwe, hata kama unapendwa, unakataliwa kwanza ili uonyesha unataka kweli!, siku hizi!, mmekutana tuu first time, umemchangamkia tuu, kontact imeombwa, kesho yake utasalimiwa kwa sms, keshokutwa yake mzinga!, ukitekeleza tuu sasa unaitwa "baby nimekumiss kweli!"
Pasco.
 
hehehe, im bad in my own good ways banaa.
kwanza mie huwa naona shida sana kumchagulia mtu zawadi ambae hatuko karibu. hata harusini sibebi zawadi unless tuko close na najua standards zako. nilikaa na mtu akiletewa zawadi anainanga afu kama isipoishia kwa dustbin basi ujue hgal kajivunia. to be honest, nilishawahi kutupa zawadi nililetewa, a very sub standard thing kwa kweli. kama sitaki kuwekeza kwako, nitakupa smiles zitakutosha ( Pasco, ndo maana mi nakupiga mzinga wa apartment. afu yule fundi naona hajaleta zile bati za migongo mbinyuko lol, tiles za italy zilifika. hizo skin tite zako za kichina mi hazinitoshi, usinletee)
He he he he, once in a while kutongozwa kama njia ya kumrusha mtu roho?? Bad girl!

Kuna watu wanaomba hadi outing wanawake, unabaki unashangaa tu. Na kuhusu zawadi kuna wengine hawajui watoe zawadi gani kwa mtu gani. Underwear hutolewa kwa watu walio karibu sana. Mie kuna mmama aliwahi nipa moja nikaitupa kabisa. Nikaona asije nikaanga mayai yangu bure.
 
Last edited by a moderator:
Kweli, kwenye sherehe na harusi, bora kumpelekea mtu gift voucher, kuna watu hawapendi vitu vibaya hata kidogo na hawezi vumilia.

mmh, pasco anataka kupambana na paw?

hehehe, im bad in my own good ways banaa.
kwanza mie huwa naona shida sana kumchagulia mtu zawadi ambae hatuko karibu. hata harusini sibebi zawadi unless tuko close na najua standards zako. nilikaa na mtu akiletewa zawadi anainanga afu kama isipoishia kwa dustbin basi ujue hgal kajivunia. to be honest, nilishawahi kutupa zawadi nililetewa, a very sub standard thing kwa kweli. kama sitaki kuwekeza kwako, nitakupa smiles zitakutosha ( Pasco, ndo maana mi nakupiga mzinga wa apartment. afu yule fundi naona hajaleta zile bati za migongo mbinyuko lol, tiles za italy zilifika. hizo skin tite zako za kichina mi hazinitoshi, usinletee)
 
hakuna mpambano hapo. namchuna tu (siri yako, yeye ananichuna hisia mie namchuna hela, mutual benefit hehehe). unajua mwanaume asipochunwa anajisikia kama sio mwanaume? mtendee haki zombie

Back
Top Bottom