Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,674
- 134,381
King'asti, celeb bongo?!, hapa hatuna maceleb bali tuna ... tuyaache, hili la undugu wa kisirisiri ndilo muhimu, tupange kuonana kisirisiri na hata tukiwa cousins, wengine cousins hatuna mwiko!.hiyo uncle-shemeji usiiogope manake wewe ni selebriti, tuna undugu wa kisirisiri hehehe. Afu we are cousins too.
Bado haujanijibu, kwa kuvaa gstring na skin tite ni kutangaza biashara? Nani anaona ama kujua unless anafunua? Kama ni kutepeta mwili hiyo ni kwa kukosa mazoezi kama sio genetic, haihusiani na kuvaa teitei ama la. Sasa wake za watu ndo wasivae gstring, na wavae teitei waonyeshe mistari ya pichu?
Sina prob kabisa kwa wake za watu kuvaa g na skin tight ila kuna uvaaji wa kiheshima sio kwa lengo la kuonyeshea!. Kule kuonyeshea wengine tunakutfsiri kuwa ni "biashara matangazo!".
Kuna a friend mke wa mtu tena mumewe is "big short in the state!", tulikutana mahali by chance akanikumbusha kuwa siku hiyo ni big day yake!, nikampa offer ya kumnunulia zawadi yoyote!, karibu kulikuwa na duka, nikamkaribisha dukani hopping atachagua a nice dress or a blouse au mtandio, yeye elikwenda straing kwenye sehemu ya lingerie and guess what she piked?!...akaniambia that is her choice and she always put them and she feels free!. alichagua, akachagua na akachuka na set ya bikini na bra yake!. Nikamtania I wish to see how they look like on her.. akanijoke "wewe tuu!", hivya najua huwa mnazivaa sana tuu ila kiheshima!.
Happy & Prosperous New Year 2013!.
Pasco