Siku hizi kasi ya wadada hasa wasomi wanaoamua kuzaa tu bila kuolewa inaongezeka sijui tatizo ni nini?Tena suala hili siku hizi ni kama fashion.
Swali la msingi kwa wadada wa aina hii je haki za msingi za kujamiiana ambazo mwanadamu anatakiwa apate angalau mara 3 kwa wiki wanatimiziwa na nani?Au ndiyo wezi wa waume za watu?Wachumba za watu?etc.
Pia mnajihadhari vipi na magonjwa?Kwa kuwa leo uko na X kesho K keshokutwa W n.k.
Wadau nini suluhisho la tatizo hili ili kuhakikisha kila mdada anaolewa na anapata haki yake ya msingi ya kujamiiana bila kuiba waume za watu au kupata magonjwa mbalimbali?