Dada zetu hasa wasomi mnaoamua kuzaa bila kuolewa nani anae/atakaewatimizia haja za tendo la ndoa

MUYOOL

JF-Expert Member
Nov 7, 2012
561
444
Siku hizi kasi ya wadada hasa wasomi wanaoamua kuzaa tu bila kuolewa inaongezeka sijui tatizo ni nini?Tena suala hili siku hizi ni kama fashion.

Swali la msingi kwa wadada wa aina hii je haki za msingi za kujamiiana ambazo mwanadamu anatakiwa apate angalau mara 3 kwa wiki wanatimiziwa na nani?Au ndiyo wezi wa waume za watu?Wachumba za watu?etc.

Pia mnajihadhari vipi na magonjwa?Kwa kuwa leo uko na X kesho K keshokutwa W n.k.

Wadau nini suluhisho la tatizo hili ili kuhakikisha kila mdada anaolewa na anapata haki yake ya msingi ya kujamiiana bila kuiba waume za watu au kupata magonjwa mbalimbali?
 
Waache waamue wanavyotaka....ilimradi wasivunje sheria ya jamuhuri wa muungano wa tanzania
 
Siku hizi kasi ya wadada hasa wasomi wanaoamua kuzaa tu bila kuolewa inaongezeka sijui tatizo ni nini?Tena suala hili siku hizi ni kama fashion.

Swali la msingi kwa wadada wa aina hii je haki za msingi za kujamiiana ambazo mwanadamu anatakiwa apate angalau mara 3 kwa wiki wanatimiziwa na nani?Au ndiyo wezi wa waume za watu?Wachumba za watu?etc.

Pia mnajihadhari vipi na magonjwa?Kwa kuwa leo uko na X kesho K keshokutwa W n.k.

Wadau nini suluhisho la tatizo hili ili kuhakikisha kila mdada anaolewa na anapata haki yake ya msingi ya kujamiiana bila kuiba waume za watu au kupata magonjwa mbalimbali?

Kwani ww umeibiwa au umeibwa?
 
HUU WIMBO BHANA!!
Musichana wasura nzuri
Kitu gani kinakufanya usiolewe
Elimu unayo ya kutosha
Hata ng'ambo ukaeenda ukarudi

Musichana wa urembo kama wewe
Uonyeshe mapenzi kwa vijana
Ukionyesha majivuno kwa vijana
Utazeeka ukiwa nyumbani kwenu

Chorus:
Oooohh baby miaka ya enda mbio sana,
Nasura yako nayo ikichuchuka X 2

Pengine tabia zako ndizo mbaya
Awali kweli dada ulijivuna
Kwanza mimi nilitaka nikuoe
Ukaringa ati sina masomo

Chorus:
Ooooh baby,Oona watoto wa nyuma yako
Wameolewa wamekuacha ukihangaika X 2
 
Wanajamiana wenyewe kwa wenyewe, magonjwa wanajikinga kwa kutumia njia unayotumia wewe nyambaaaf!
 
Nyie weneyewe hapa jamvini si mnadai kila mwanaume ana small house, sasa hao wadada wanaozaa ni sehemu pia ya hizo small house zenu ati!
 
ni maisha yao na maamuzi yao and they know how to take care of themselves kila mtu ana uhuru wa kuchagua kuishi namna anavyotaka ikiwa havunji sheria
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom