Dada zenu JIJINI...

Dada zenu JIJINI...

Eeeeh!Mungu sikia kilio cha watu wako, hawafanyi kwa kupenda ni ugumu tu wa maisha, kila mtu anapenda maisha mazuri basi tu.
 
Ee Mungu tazama wafanya wasiopenda na washindwa kufanya wapendao nakusihi uwaguse kwa rehema zako wapate kugeuka nawe ukawajalie kipato wakashudie Jina na utukufu wako!
 
Ee Mungu tazama wafanya wasiopenda na washindwa kufanya wapendao nakusihi uwaguse kwa rehema zako wapate kugeuka nawe ukawajalie kipato wakashudie Jina na utukufu wako!
Na iwe hivyo. Tunawahukumu kama jamii, lakini unaweza kuta hakuna ambaye amependa 'kujiuza' kwa makusudi. Ukute baadhi yetu tumewakatisha masomo kwa kuwapa mimba, familia zao zikawafukuza, wengine wamekimbia vipigo makwao na kujikuta wako hapo, wengine ukute wamedhulumiwa biashara zao na mgambo wa jiji huku wakiwa na watu wanaowategemea n.k. Mambo ni mengi mno yanayoweza kupelekea wao kujiuza.
 
Kila kosa linakipengele chake na sheria yake ,sijui sheria ipi imevunjwa na hawa ikiwa biashara inafanyikaa usiku au kama ni mchana ni majumbani kwao maalum kama pale buguruni,tunajua wanapata pesa ndio maana wanajikomboa kwa fain kama hawa na ndugu zao wanawatoa kutoka mikonkni mwa polisi hii inadhihirisha wanategemewa na kujitegemea,tubadilike
 
Duuuh! Mimi pia nilishawahi kuwa mteja wao, biashara hii isjiliwe sio ile ya David CAMERUN.
 
Mbona wote wachafu? Sitaki kuamini kulikuwa na watu wanaimgiza vikojoleo vyao humo
 
Nawashauri nao wapange maandamano sisi wateja wao tutawaunga mkono, nchi hii yetu sote sasa kwanini watunyime nasie kula uroda, tumewachia madini yote, Tembo wote na gesi, naona hawatosheki.
 
Wangekuwa Netherlands ingekuwa tofauti.

Poleni dada zangu, najua wengi wenu hampendi muyafanyayo.

Hata mimi sioni kosa lao lakini nadhani itafika wakati wataeleweka na kukubaliwa wanachokifanya. Nani alijua leo hii kiongozi anamiliki mali tena za ufisadi na bado yupo ulingoni?
 
Inatakiwa tutapate tafsiri sanifu ya biashara ya ngono, wengi tu wanauza na kununua
 
Serikali imebinafsisha/kuviuza vitega uchumi vyote, na wanunuzi wameshindwa kuviendeleza na kutoa ajira kwa wananchi.
Wakinadada na wao wameamua kubinafsisha K zao na kuzikodisha tu, sio kuziuza, eti serikali inawakamata.
Hivi huu ni uungwana kweli?
 


Wanawake wanaotuhumiwa kufanya biashara ya ukahaba wakiwa Chini ya Ulinzi wa askari kwenye Mahakama ya Jiji la Dar es Salaam, baada ya kukamatwa maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kinondoni kwenye oparesheni ya kuwakamata inayofanywa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipilisi Kinondoni, jumla ya watuhumiwa 14 pamoja na baadhi ya wateja wao wamefikishwa kwenye mahakama hiyo.

1.JPG


Wanawake hao wakiwa na baadhi ya wateja waliokutwanao wakifanya ngono baadhi yao wakificha sura zao.
8.JPG

Wakiwasili kwenye mahakama ya jiji huku wakificha sura ili wasionekane.
6.JPG
a


Hiyo biashara wanaifanye wenyewe kwa wenyewe au na wanaume? Ingefaa kama na wanaume wangeanikwa hapo maana ndo wanunuzi wakubwa! Wanaume mnaonunua hawa pumbaf zenu!
 
Mkuu Ngoshwe; mimba hazibebwi wakati wa uchangu, hawa ni wananchi wa kawaida kabisa wakati wa mchana utawakuta maofisini, migahawani na hata unaweza ukawakuta mbele kwenye mihadhara ia ibada. nadhani sio suala dogo kihivyo linahitaji umakini mkubwa
 
Mkuu Ngoswe, kitendo cha kuzileta picha zao humu pia ni udhalilishaji!, maana kiukweli sisi wengine pia huwa tunaponea humo mara moja moja kama hata simba akizidiwa, hula majani!.

Hiyo ndio the oldest professional na ndio ajira iliyobeba watu wengi zaidi duniani kuliko ajira nyingine yoyote!.

Hawa mnawadhalilisha tuu kwa sababu wao hawajabahatika kupata mte mmoja wa kudumu hivyo kuitwa "mke", ndio maana wanatandaza bidhaa zao sokoni!.

Hata hao wanaheshimiwa kwa jina la "mke" wa ndoa, kinachotolewa ni huduma ile ile tuu!, tofauti hao ni mteja mmoja tuu wa kudumu.

P.
 
Hii serekali yetu haiko serious na suala zima la kukusanya mapato! Ajira za kuwapa ili muwakate kodi hamna. Kwani mtu akiamua kuuza kikojoleo chake na wao wakapata kapercentage hapo- kuna ubaya gani wajameni?
 
Kila kosa linakipengele chake na sheria yake ,sijui sheria ipi imevunjwa na hawa ikiwa biashara inafanyikaa usiku au kama ni mchana ni majumbani kwao maalum kama pale buguruni,tunajua wanapata pesa ndio maana wanajikomboa kwa fain kama hawa na ndugu zao wanawatoa kutoka mikonkni mwa polisi hii inadhihirisha wanategemewa na kujitegemea,tubadilike


SHERIA - KANUNI ZA ADHABU (PENAL CODE Cap. 16)

Section 139. Any person who-

(4) procures or attempts to procure any woman or girl to leave
her usual place of abode in Tanganyika (such place not
being a brothel), with intent that she may, for the purposes
of prostitution, become an inmate of or frequent a brothel
either in Tanganyika or elsewhere,
is guilty of a misdemeanour:
Provided that no person shall be convicted of any offence under
this section upon the evidence of one witness only, unless such
witness be corroborated in some material particular by evidence
implicating the accused.

Section 145.-(1) Every male person who-
(a) knowingly lives wholly or in part on the earnings of prostitution;
or
(b) in any public place persistently solicits or importunes for
immoral purposes,
is guilty of a misdemeanour. In the case of a second or subsequent
conviction under this section the court may, in addition to any term
of imprisonment awarded, sentence the offender to corporal
punishment.
(2) Where a male person is proved to live with or to be habitually
in the company of a prostitute/or is proved to have exercised
control, direction or influence over the movements of a prostitute
in such manner as to show that he is aiding, abetting or compelling
her prostitution with any other person, or generally, he shall unless
he shall satisfy the court to the contrary be deemed to be knowingly
living on the earnings of prostitution.


Section 146. Every woman who knowingly lives wholly or in part on the woman
earnings of prostitution or who is proved to have, for the purpose
of gain, exercised control, direction or, influence over the move- for gain
ments of a prostitute in such a manner as to show that she is aiding,
abetting or compelling her prostitution, with any person, or gene- woman
rally, is guilty of a misdemeanour.


Section 147. If it is made to appeal to. a magistrate by information on Power of
oath that there is reason to suspect that any house or any part of a search
house is used by a woman of girl for purposes of prostitution, and
that any person residing in or frequenting the house is knowingly
living wholly or in part on the earnings of the prostitute, or is
exercising control, direction or influence over the movements of
the prostitute the magistrate may issue a warrant authorizing any
police officer to enter and search the house and to arrest such
person.


Section 148. Any person who keeps a ho use, room, set of rooms or place
of any kind whatsoever for the purposes of prostitution is guilty of
a misdemeanour.

Section 176. The following persons

(1) every common prostitute behaving in a disorderly or indecent manner in

any public place or loitering or, soliciting in
any public place for the purpose of prostitution;
(2) every person wandering or placing himself in any-, public
place to beg or gather alms or causing or procuring or
encouraging any child or children so to do;
(3) every person playing at any game of chance for money or
money's worth in any public place;

(4) every person wandering abroad and endeavoring by the
exposure of wounds or deformation to obtain- or gather
alms;
(5) every person who publicly conducts himself in a manner
likely to cause a breach of the peace;
(6) every person who without lawful excuse publicly does any
indecent act; and
(7) every person who in any public place solicits for immoral
purposes,
shall, be deemed idle and disorderly persons, and shall be liable to
a fine not exceeding five hundred shillings or to imprisonment for a
period not exceeding three months or to both such fine and imprisonment.

Section 176A. Every person, being the keeper of any bar, hotel, house,
shop, room or other place of public resort for the sale or consumption
of refreshments of any kind, who knowingly permits or suffers
common prostitutes to assemble at and remain on his premises for
the purpose of prostitution, shall be guilty of an offence and liable
on conviction to a fine not exceeding five hundred shillings or, in
the case of a second or subsequent offence, to a fine not exceeding
one thousand shillings.
 
Back
Top Bottom