Hahahaha! Kumbe ndo tabia yake kloro kuchungulia watu?...khaaa! Usijali husni ngoja nimwazime King'asti binduki yake nikae nayo hapa mlangoni...lol...Khaaaa! Nyie hapo chini mbona mnachakachua thread.
Uporoto darling njo chumbani mara moja. Sweetlady niangalize kloro asije kutuchungulia.
Hahahaha! Kumbe ndo tabia yake kloro kuchungulia watu?...khaaa! Usijali husni ngoja nimwazime King'asti binduki yake nikae nayo hapa mlangoni...lol...
thethethet! kazi kwelikweli!Huyu dada ni mai waifu kwasasa na nimempiga ban kuingia JF. kama kuna michango yoyote ya hela inayomuhusu yeye iwasilisheni kwangu.
Hahahaha....hela za kuunga unga, ndo bundle inunuliwe??..lol atauza siku ngapi itoshe?.kloro hela ya bundle imeisha, ngoja amalize kuuza zile karanga.
Ukimwona mkwe wangu king'ast mwambie kuna mashtaka ya step son wake.
angalia hii (shida ya nokia tochi inapata mtandao ila multiquote invisible anabania)...utaniambia maana ya la'aziz. nndo maana nikasema una mitala. michelle,nsamehe macho hayana pazia,mdomo hauna dirisha
Dah! hili JWJF linakaba kuliko JWTZ.laaziz wako mke wa ayubu?kweli mie bado mgeni mjini.bahati nzuri hela ya kununua risasi sina manake mngenikoma!
Ni PM fedha si tatizo kama unafahamu mwingine anayeuza nishtue tuafu ww nilikua nakusaka. nauza hii binduki yangu,cash lakini
Hahahaha! Kumbe ndo tabia yake kloro kuchungulia watu?...khaaa! Usijali husni ngoja nimwazime King'asti binduki yake nikae nayo hapa mlangoni...lol...
kloro hela ya bundle imeisha, ngoja amalize kuuza zile karanga.
Ukimwona mkwe wangu king'ast mwambie kuna mashtaka ya step son wake.
Hahahaha....hela za kuunga unga, ndo bundle inunuliwe??..lol atauza siku ngapi itoshe?.
Hahahaha....hela za kuunga unga, ndo bundle inunuliwe??..lol atauza siku ngapi itoshe?.
Nna hakika karanga bado hazijaisha, hapa utakuwa umeazima laptop ya either The Finest or Asprin...Angalieni CNN leo jioni, nitakuwepo laivu nazungumzia jinsi ngono inavyochangia tatizo la global warming.
sasa nyie kaeni na stori zenu za kuuza karanga tu wakati selebriti klorokwini ndo kwanza nimeshauriwa na madaktari nitembee na mwevuli kama marehemu maiko jakson ili nisizurike na jua.
Lol...... Namuona anajidai na pesa za msaada...nimeamua nimnunulie bundle, si unamuona hapo.
wanaJF ni ukweli usiopingika kuwa adada yeetu huyu alikuwa mfano wa kuigwa kama walivo wengine ktk hili jukwaa hasa kwa mada na uchangiaji wake, kwa muda sasa haonekani ktk hili jukwaa, mwenye kufahamu habari zake atujuze, kwani kama yuko tz mitandao imejaa hadi vijijini na moderm sasa hata kwa sh 20 alfu unapata, nimepata mashaka kama ni mzima au lah. hilo tu wapendwa wekend njema.
Mkuu, huyu dada ni mzima ma afya. Nadhani amebanwa na majukumu ya ujenzi wa taifa. Usihofu mkuu. Ni mzima, buheri wa afya!
Huyu dada ni mai waifu kwasasa na nimempiga ban kuingia JF.
kama kuna michango yoyote ya hela inayomuhusu yeye iwasilisheni kwangu.
mbona yupo ngoja nikupm new ID yake....
kloro hela ya bundle imeisha, ngoja amalize kuuza zile karanga.
Ukimwona mkwe wangu king'ast mwambie kuna mashtaka ya step son wake.
Lol...... Namuona anajidai na pesa za msaada...
Mimi naamini atarudi tuu katika Jukwaa,, maana Wanawake wanamengi bana inawezekana katika uongezajiwa idadi ya Watanzania wenye Damu za kiuzalendo kama yeye mwenyewe,, sasa hatua ya malezi,, ni ngumu sana ile
Ni PM fedha si tatizo kama unafahamu mwingine anayeuza nishtue tu
Asante sana Lokissa kwa kunikumbuka, ni kweli nimekuwa siingii JF kwa muda sasa kutokana na majukumu kunizidi na pia mgao wa umeme. Ila namshukuru Mungu naendelea vizuri na ni mzima. Ninawakosa sana wana JF na JF kwa ujumla. mambo yakitulia nitarudi kama mwanzo na tutazidi kushiriki hoja na mijadala mbalimbali hapa.
Mungu Awabariki, Tuko Pamoja.