Dada yetu Jide hakubali kama kazeeka?

Dada yetu Jide hakubali kama kazeeka?

Unasema Age is just a number, ila ulipotaka kuoa ulitafuta binti mrembo mwenye miaka midogo kuliko wewe.

Kama age is just a number kwa nini usingeoa vibibi?

Bibi na Babu ni tafsiri ya watu wenye upeo wa chini ambao hawajajua kuwa wao sio mwili .

Mimi nawafurahia watu ambao wapo relevant .

Uzee ni nadharia ya watu Ila haipo
 
Back
Top Bottom