Dada yetu Jide hakubali kama kazeeka?

Dada yetu Jide hakubali kama kazeeka?

Bibi na Babu ni tafsiri ya watu wenye upeo wa chini ambao hawajajua kuwa wao sio mwili .

Mimi nawafurahia watu ambao wapo relevant .

Uzee ni nadharia ya watu Ila haipo
Mwanao wa kiume akileta kibibi nyumbani kwako kukitambulisha kama mke wake, kwa kigezo cha age is just a number utakubaliana na mwanao?

Au unaongea tu kuchangamsha genge?
 
Kuna alowaacha miaka zaidi ya kumi na bado ukiwalinganisha unaona wapo sawa nae tu so let her enjoy the life.
 
Mwanao wa kiume akileta kibibi nyumbani kwako kukitambulisha kama mke wake, kwa kigezo cha age is just a number utakubaliana na mwanao?

Au unaongea tu kuchangamsha genge?

Mapenzi hayana umri Mkuu watu kibao wameoa vikongwe na wanafurahia maisha

Mimi watoto wangu nawapa Uhuru no limitation
 
Dah noma sana, vijana wanachakata mbususu hapo fresh tuu. Ila hapo bado kidogo tuu atarusha taulo.. 😁
 
Back
Top Bottom