Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,523
- 2,108
Mtu kachagua style yake ya kuishi wewe unaongelea habari za umri isitoshe ni msaanii ila sio gospel
Mbona mapaja kama ya zuchu tu !Huyu dada yetu Lady Jay Dee akubali tu jua lishazama haya mambo awaachie kina Abigail jaman, sasa paja la mtu mzima mkongwe nani alitamani.View attachment 3304079
Wanakuzidi umri au unalingana nao?Basi uyu dada na ester bulaya huwa wananitoa mate mimi 😁😁😁
Age is just a number
Na makunyanzi waliyoyavaa nyusoni mwao nayo pia ni illusion?Bibi na Babu ni tafsiri ya watu wenye upeo wa chini ambao hawajajua kuwa wao sio mwili .
Mimi nawafurahia watu ambao wapo relevant .
Uzee ni nadharia ya watu Ila haipo
Mimi yule madam Ritha, kweli age is just a number.Basi uyu dada na ester bulaya huwa wananitoa mate mimi 😁😁😁
Age is just a number
Huu ukoo wenu huo.Huyu hata kuona goti lake ni sawa na kuona uchi wa mzazi wako, anakuachia laana kubwa mno.
Hatupo hvy sisiHuu ukoo wenu huo.
Kwa Mwendo huu vikao haviishagi bila kurushiana ngumi.
Af naskia Jide ni Mpare wa Gonja😂Hatupo hvy sisi
Kweli boss namacho matamu afu ypo sexy na msafi😁Mimi yule madam Ritha, kweli age is just a number.
Potelea mbali😅😅Wanakuzidi umri auunalingana nao?
Kule nilikuuliza kutaka kuthamanisha.Potelea mbali😅😅
Jiheshimu mkuu, wapare wa gonja hatuna pisi zimekomaa hvy 😎Af naskia Jide ni Mpare wa Gonja😂
Sio boss ana mwili sexyKule nilikuuliza kutaka kuthamanisha.
Hata mimi huyo Bulaya kwa ngebe zake zile za Bungeni, ng'he ng'he ng'he huwa ananipa mzuka wa kumtamani kimapenzi.
Mkuu mimi nipiga tuHuyu dada yetu Lady Jay Dee akubali tu jua lishazama haya mambo awaachie kina Abigail jaman, sasa paja la mtu mzima mkongwe nani alitamani.View attachment 3304079
Akijipost mzungu wao MARIAH CAREY wabongo UTASIKIA she's beautiful huyu dada ni mzuri kweli aseeHuyu dada yetu Lady Jay Dee akubali tu jua lishazama haya mambo awaachie kina Abigail jaman, sasa paja la mtu mzima mkongwe nani alitamani.View attachment 3304079
>MARIAH CAREY born 1969 age 56y/o
>LADY JAY DEE born 1979 age 45y/o