Picha ya zamaniHuyu dada yetu Lady Jay Dee akubali tu jua lishazama haya mambo awaachie kina Abigail jaman, sasa paja la mtu mzima mkongwe nani alitamani.View attachment 3304079
Picha ya zamaniHuyu dada yetu Lady Jay Dee akubali tu jua lishazama haya mambo awaachie kina Abigail jaman, sasa paja la mtu mzima mkongwe nani alitamani.View attachment 3304079
Mpya HyPicha ya zamani
HahahahaJf imejaza wangese wengi wanauza makota, wanajita watoto wa afu mbili lakini nyuma kuko wazi, sasa hapa watakandia juu ya huo uzee ni km kujinadi walivyo vijana kwenye soko lao lisipokonywe na wazee
Marhaba mambo in mama dangote's voiceTushakubaliana. Hata uvae kaptula ndo ushazeeka hivyo. Kubali tu shkamoo. Sio shkamoo eti poa!
Mate ya nini Mkuu, kwani huwa unawaza kitu gani?Basi uyu dada na ester bulaya huwa wananitoa mate mimi 😁😁😁
Age is just a number
Wewe kuweza kupiga picha kama hizo..?Mbona zuri tu jamani hilo paja lake.
Mi namkubali tu alivyojua kuutunza mwili wake hajataka kufutuka kama wale wengine.
nusu nitapike
Minyelamumoavae nini sasa Jamani🤗
Tumia limao inasaidia kutibu hiyo halinusu nitapike