figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,714
- 59,240
Kumbe chadema sio chama cha kifamilia. Asante kwa hii habari. Vipofu wataona tu. Mia
Atakayefuatia kukihama atakuwa kaka yake, mkiti wa chadema.Wakati Mwenyekiti wa taifa CHADEMA mh Freeman Mbowe na baadhi ya Wabunge wakihojiwa na jeshi la polisi mkoani Iringa kwa kile kinachodaiwa na jeshi hilo ni kupitiliza muda wa kuhutubia ktk mkutano uliofanyika siku ya jumamosi, Dada yake na Mbowe GRESI MBOWE,ameamua kuikacha CHADEMA na hatimae kujiunga na CCM!!
SOURCE; Gazeti la Uhuru (Radio Free Afrika)
Dada yake Mbowe kajitambua, ameona haiwezekani akili ndogo iongoze akili kubwa.
Hongera sana Grace Mbowe.
Kama nyumbani wanamkataa Mbowe, kulikoni.
Kamanda kwa hiyo umemfuta Grace Mbowe, kwenye orodha ya watoto wa Aikaeli Mbowe?achen ushabik ucokuwa na maana,Grace mbowe co dada yake mbowe,ayo ni majina tu yanafanana.fanyen uchunguzi kwanza kabla ya kushabikia habari
Wakati Mwenyekiti wa taifa CHADEMA mh Freeman Mbowe na baadhi ya Wabunge wakihojiwa na jeshi la polisi mkoani Iringa kwa kile kinachodaiwa na jeshi hilo ni kupitiliza muda wa kuhutubia ktk mkutano uliofanyika siku ya jumamosi, Dada yake na Mbowe GRESI MBOWE,ameamua kuikacha CHADEMA na hatimae kujiunga na CCM!!
SOURCE; Gazeti la Uhuru (Radio Free Afrika)
Kwa hiyo kamanda unamkubali.Safi sana, sasa anasubiriwa mbowe mwenyewe
Wakati Mwenyekiti wa taifa CHADEMA mh Freeman Mbowe na baadhi ya Wabunge wakihojiwa na jeshi la polisi mkoani Iringa kwa kile kinachodaiwa na jeshi hilo ni kupitiliza muda wa kuhutubia ktk mkutano uliofanyika siku ya jumamosi, Dada yake na Mbowe GRESI MBOWE,ameamua kuikacha CHADEMA na hatimae kujiunga na CCM!!
SOURCE; Gazeti la Uhuru (Radio Free Afrika)
MamndenyiHongera sana ........"Dada yake na Mbowe GRESI MBOWE......"
Umechagua fungu jema sana;
Sie tuliofaidi matunda ya nchi hii tushirikiane kukiimarisha chama cha mapinduzi.
copy chama
Weak threat,,,,,,,,,,,,,yule n dada wa tumbo 1.
Mkuu wangu adolay,Mkuu Ritz tatizo nini hapa naona umekakamaa kwelikweli.
Grace ni mtanzania kama walivyo watanzania wengine, anautashi na uhuru wa kuchaguwa anachokitaka.
Kitugani cha kushangaza? demokrasia? hiari ya mtu? wassira steven amehama hama sana lakin hakufanya kosa
kwasababu ni haki yake ya msingi na kuhama grace pia haki yake bila kujali ni dada au siyo dada wa mbowe.
Wakati Mwenyekiti wa taifa CHADEMA mh Freeman Mbowe na baadhi ya Wabunge wakihojiwa na jeshi la polisi mkoani Iringa kwa kile kinachodaiwa na jeshi hilo ni kupitiliza muda wa kuhutubia ktk mkutano uliofanyika siku ya jumamosi, Dada yake na Mbowe GRESI MBOWE,ameamua kuikacha CHADEMA na hatimae kujiunga na CCM!!
SOURCE; Gazeti la Uhuru (Radio Free Afrika)
Nadhani grace alikua mwanaccm asilia na alihama kwa hasira kutokana na ccm kukumbatia ufisadi. Kurudi kwake kunaonyesha tofauti na propaganda chafu ya ccm kwamba cdm ni chama cha kikabila au kiukoo. Hata hivyo grace utakuta bado ccm iko chafu ufisadi umetamalaki. Sio tena chama cha wavuja jasho (wakulima na wafanyakazi). Alama ya jembe na nyundo haina tena maana bora waweke bangi na kipusa cha kifaru maana itikadi 'de facto' ya ccm siku hizi ni ufisadi. Nakutakia kila la kheri grace mbowe. mungu ibariki tanzania.Wakati Mwenyekiti wa taifa CHADEMA mh Freeman Mbowe na baadhi ya Wabunge wakihojiwa na jeshi la polisi mkoani Iringa kwa kile kinachodaiwa na jeshi hilo ni kupitiliza muda wa kuhutubia ktk mkutano uliofanyika siku ya jumamosi, Dada yake na Mbowe GRESI MBOWE,ameamua kuikacha CHADEMA na hatimae kujiunga na CCM!!
SOURCE; Gazeti la Uhuru (Radio Free Afrika)
Sawa Msemaji wa familia ya Bwana AIKAELI MBOWE.Huyo ni dada yake OCS Gervas Mbowe aliyedaiwa 'kuwalinda' wasomali waliomshambulia Mhe.J.Nassari. Ukoo wa Mbowe ni ukoo mkubwa kama zilivyo koo za Mallya,Massawe na koo nyingine kubwa. Kitendo cha huyo mwanamama kudanganya kuwa yeye ni dada yake Mhe.Freeman Mbowe ni cha hovyo na chenye kudhihirisha kuwa Mhe.Freeman Mbowe ndiye mtu maarufu na anayekubalika nchini kuliko kina-Mbowe wote.