Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,282
- 31,435
tafakari kisha chukuwa hatua...
Yani mijianaume mingine ni fadhaa mtu kuachwa tu na bekitatu tayari ashaanza kudindisha...inaonyesha upeo wako mfupi[/QUOT
emmy mi sio janaume ni mwanaume anayejiheshimu na anayempenda mkewe kwa dhati sasa kuleta hii mada ili kubadilishana mawazo na watu ndo kudindisha kwa house girl ?tafadhali uwe mstaarabu we mwanamke kama una matatizo na stress zako usilete hapa ni mchango wako unaonyesha wewe ni mwanamke wa namna gani?sio kwa kwa vile tunatumia majina bandia ndo tufanye tupendavyo jukwaani kwani mi nimeleta mada kuwa nadidisha kwa house girl?
hapana mkuu simuwindi nimeona katabia kamebadilika kidogo ndo maana nimeleta jukwaani ni mtu ninayeheshimu ndoa yangu kama ningekuwa namtaka c ningemaliza tu kwani kufanya unyang'au kazi mkuu ?
Yani mijianaume mingine ni fadhaa mtu kuachwa tu na bekitatu tayari ashaanza kudindisha...inaonyesha upeo wako mfupi
sokwe mjanja kutoka moyoni siwezi msaliti mke wangu ni observation tu nimeona ndo maana nikaposti kujua kama onatokeaga hata kwa wengine
sipendi watu wanaopenda kuja kuhalisha dhambi zao humu jukwaani
Eti siwezi kumsaliti mke wangu, we mdanganye huyo hausigeli.
Khaaaah! We dada umelelewaje mbona unamaneno yenye ukakasi sana kama sio mwanamke.....siku zote nawaheshimu wanawake kama fahari ya ulimwengu na mara nyingi hawana vinywa vichafu mbele ya watu ila sio wewe BINTI Hovyoooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!
Kwa nini unawishwe??????
habari ba ndugu
wife hayupo nimebaki na house girl cha ajabu anatoa best customer service ukarimu wa hali ya juu mpaka magoti anaponinawisha da sio kawaida yake anapokuwepo mke wangu sasa najiuliza hii huduma nzuri ninayopata nirudipo home ni ya kweli toka moyoni au ni tego mbona akiwepo wife hafanyaji hayo wenye uzoefu tafadhali
Kwa nini unawishwe??????
Ushategwa wewe!!! na inaelekea unakaribia kuingia kwenye mtego...Shauri yako majuto ni mjukuu beki tatu atakapokwambia siku zake hazioni na wewe ndio umehusika kuzipoteza utatamani ardhi ipasuke.
Sink la kunawia liko mbali na dinning table.
Mm uzoefu wangu ungeomba ushauri kwa mkeo kwanza afu baadae huku
habari ba ndugu
wife hayupo nimebaki na house girl cha ajabu anatoa best customer service ukarimu wa hali ya juu mpaka magoti anaponinawisha da sio kawaida yake anapokuwepo mke wangu sasa najiuliza hii huduma nzuri ninayopata nirudipo home ni ya kweli toka moyoni au ni tego mbona akiwepo wife hafanyaji hayo wenye uzoefu tafadhali