Dada wa kazi

jail

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
458
250
Habari ba ndugu,

Wife hayupo nimebaki na house girl cha ajabu anatoa best customer service ukarimu wa hali ya juu mpaka magoti anaponinawisha da sio kawaida yake anapokuwepo mke wangu sasa najiuliza hii huduma nzuri ninayopata nirudipo home ni ya kweli toka moyoni au ni tego mbona akiwepo wife hafanyaji hayo wenye uzoefu tafadhali.
 
Sokwe Mjanja

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
576
0
Mkubwa inawzekana ni wewe umepeleka mawazo yako kusiko, na vyovyote itakavyokuwa kama ni wewe wawaza hivyo au anakutega jaribu sana kuepuka hicho kitu, ni mbaya sana kum-cheat mkeo ila ni mbaya zaidi ku-cheat na haousegirl wenu!
 
chikutentema

JF-Expert Member
Dec 10, 2012
7,350
2,000
habari ba ndugu
wife hayupo nimebaki na house girl cha ajabu anatoa best customer service ukarimu wa hali ya juu mpaka magoti anaponinawisha da sio kawaida yake anapokuwepo mke wangu sasa najiuliza hii huduma nzuri ninayopata nirudipo home ni ya kweli toka moyoni au ni tego mbona akiwepo wife hafanyaji hayo wenye uzoefu tafadhali

Ha ah kwa mawazo hayo jibu ni kwamba wewe unamwinda huyo beki 3, angalia jomba sio kitu nzuri hiyo
 
Stamina

JF-Expert Member
Jul 3, 2012
1,028
2,000
Anataka kufanya mapinduzi?! Si kaona unavyom-care mkeo?! Na yeye je?! Siku hizi ndoa zina tafutwa ati?! Be aware!!
 
jail

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
458
250
Ha ah kwa mawazo hayo jibu ni kwamba wewe unamwinda huyo beki 3, angalia jomba sio kitu nzuri hiyo

hapana mkuu simuwindi nimeona katabia kamebadilika kidogo ndo maana nimeleta jukwaani ni mtu ninayeheshimu ndoa yangu kama ningekuwa namtaka c ningemaliza tu kwani kufanya unyang'au kazi mkuu ?
 
jail

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
458
250
wewe umemiss kigegedwa chako...una anza kutamani kuka gegenda katoto ka watu.
mtoto anaonyesha heshima tu...Futa hayo mawazo yako

teh teh...kweli hapa ndo jf kila aina mtazamo unapata good mkuu yani kumiss mgegedo ndo utamani wa dada kama ni hivyo ikitokea mke anaumwa ana ishu kiasi kwamba kugegeda hakuna c itakuwa balaa ni kweli tamaa zimo mwilini mwetu inatakiwa uweze kuzimudu self control
 
jail

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
458
250
Anataka kufanya mapinduzi?! Si kaona unavyom-care mkeo?! Na yeye je?! Siku hizi ndoa zina tafutwa ati?! Be aware!!

kumbe huwa mke wangu akiwepo anajua mimi sipendi kabisa kuhudumiwa na dada asante kwa angalizo ila ni tabia ya mwanaume kama mhuni hata iwaje atavuruga kama unajieshi mu huwez kwanza ni aibu na Mungu ni mwema lazima litakuwa peupe siku usiyoijua kwa nini ujipake kinyesi any way asante kwa angalizo
 
Mwadunda

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
1,834
2,000
Anataka kufanya mapinduzi?! Si kaona unavyom-care mkeo?! Na yeye je?! Siku hizi ndoa zina tafutwa ati?! Be aware!!

sio huyo mtoto jamaa mwenyewe nahisi amepeleka hisia zake kumgegeda huyo mtoto!
 
PLL

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
882
195
Duh makeo macare,dada anaonesha nae anaweza kua goodwife,ila nae analake huyo kama siku zote hafanyag ivyo mbona mwenye nyumba kaondoka ndo kaanza tabia nzur?
Mke wako ni muhimu sana na anatakiwa kuheshimiwa ivo ucje jaribu kutegeka na heshma za unafiki..weka sura mbuzi kwa huyo dada,c mnakaa seblen mnaangalia tamthlya pamoja
 
nashukuru kwa mchango mzuri mara zote sipo nyumbani natoka asubuh sana na narudi usiku sana so ma care ya nguvu ni usiku wakati wa kula mda wa kuangalia video sina nikila namwita na wadogo zangu tunasali then mi naenda lala wao kwenye video.nahisi pengine anaona maigizo kwenye video naye anapractice
 
Ammy Emmy

Senior Member
Jul 31, 2013
143
0
Yani mijianaume mingine ni fadhaa mtu kuachwa tu na bekitatu tayari ashaanza kudindisha...inaonyesha upeo wako mfupi
 
jail

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
458
250
sio huyo mtoto jamaa mwenyewe nahisi amepeleka hisia zake kumgegeda huyo mtoto!

si watu wote wanawaza kugegeda rafiki watu wanapambana na life na hii inathibitisha namna gani matatizo hayaiashagi badala ya kuwaza maendeleo ya familia we ni kugegeda kunadumaza akili yako na kuongeza majanga ktk familia kukiwa na majanga amani hamna hata maendeleo yatakwama
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom