- Thread starter
- #81
ni kweli mume anauma kaka, na hata kwa wale wenye mapenzi kwa wake zao pia mke anauma....fikiria ebu mfano ungekuwa na house BOY halafu akafanya hayo anayofanya huyo housegirl kwa mkeo, UNGEPENDA? naamini usingependa (hii inaaply km ni kweli unampenda kwa dhati mkeo)...so ili kulinda uhusiano wako na mkeo (hao mahausgel huwa ni wa kupita tu na hamna mkataba naye) mimi nakuomba umuelezee kwa upendo tu, kiroho safi bila jazba, yeye atajua cha kufanya maana nikwambie ukweli kaka, baadhi ya mahausgirl wana kasumba ya kuiba waume za watu hasa walio DHAIFU..ila kwa wewe naona ume-mature enuf na unampenda mkeo, so ni bora umuweke wazi yeye ndio atadeal naye..hawa baadhi ya mahsgl wanakera sana, wanakuta nyumba za watu zimetawaliwa na upendo na uaminifu wenyewe wanataka kuharibu kutokana na hulka zao mbaya..WASHINDWE!!
nashukuru kwa ushauri