Dada wa kazi

Hehehe jail ulio andika hapa ni machache, mengi yako moyoni!
Shemeji anarudi lini?
Maana nahisi akikaa wiki tu kitanuka hapo home.
 
Si aweke bajaj ndani ama atumie wheel chair? Hehehe

aspirin c unajua nyumba za kiswahila chakula chawekwa mezani wanawishwa maji kwa kutumia jago na kabeseni kiufup hatuna sink la kunawa
 
Hehehe jail ulio andika hapa ni machache, mengi yako moyoni!
Shemeji anarudi lini?
Maana nahisi akikaa wiki tu kitanuka hapo home.

nyamgluu haiwezi tokea coz zinaa hupangwa toka moyoni kama hujania haiwezi tokea hata ukaliwe uchi
 
duuu! Mkuu mkeo si amejifungua hv karibun unataka kumsarit tena.......mm mwenyew nilijiuliza kwajinsi navokufaham ndg yang huwez kumwacha bek3 wako tena alivyomzur vile

hapana mkuu hajajifungua na wala sio mja mzito katoka kidogo c unajua mihanaiko ya hapa na pale ili siku ziende
 
Kubali tu mkuu,ushatamani kukashughulikia hako katoto.By the way labda ndo tabia yake ila mkeo huwa anamnyima nafasi
 
habari ba ndugu
wife hayupo nimebaki na house girl cha ajabu anatoa best customer service ukarimu wa hali ya juu mpaka magoti anaponinawisha da sio kawaida yake anapokuwepo mke wangu sasa najiuliza hii huduma nzuri ninayopata nirudipo home ni ya kweli toka moyoni au ni tego mbona akiwepo wife hafanyaji hayo wenye uzoefu tafadhali

mgegede tuu mwanawane kabla wife hajarudi. ndio raha ya dunia kuonja onja mashimo tofauti.
 
Kubali tu mkuu,ushatamani kukashughulikia hako katoto.By the way labda ndo tabia yake ila mkeo huwa anamnyima nafasi

mkuu mbona unishawishi nikubali kuwa nimemtani ningemtamani ningeleta mada ya nimemtamani binti wa kazi nifanyaje?ila nimefahamu fikra za watu kwa mabint wa kazi ni kweli wanakutana na changamoto kubwa coz kila anayechangia anahis namtaka hapana sisi tuliofanikiwa kuwa na maisha tusiwaharibie maisha watoto wa watu tujue malipo yapo hapahapa duniani pia umesema pengine akiwepo mke wangu anakuwa na hofu nalo neno labda kwa kuwa bajeti zote za home yeye ndo anajua pengine amefurah na kuonyesha furaha yake kwa kunihudumia vizuri ninayetafuta
 
mgegede tuu mwanawane kabla wife hajarudi. ndio raha ya dunia kuonja onja mashimo tofauti.

sio vizuri mkuu hawa mabint ni kama watoto wetu tunatakiwa tunawelee nao waje kuwa na future alafu ukigegeda dada wa kazi jua umeleta aibu na fezea ktk ndoa yako yule dada atamdharau mkeo kwa kujiona naye mwanamke hatma yake ndoa itayumba sana kisa binti wa kazi lazima tuziheshimu ndoa zetu ili tuwe na furaha je wewe ungefurahi mkeo akigegedwa na house boy? so kama hupendi hayo usimfanyie dada
 
Ukijitambua hautafanya usaliti

HP1 nakupa like wengi jf hapa wanafikiri kuharibu tu soma comments za watu hapa utajua jinsi gani jamii imeharibika ki ufupi wadada wengi wa kazi wanakuwa ktk umri wa kubarehe na wengine wanaweza kukutega so kama haujitambui kuwa wewe ni mzazi things must fall apart je unapenda kuishi ktk stress? nashukuru kwa mchango wako wa kujitambua
 
kalou watu wanahalalisha dhambi kwa vp?kuleta observation jukwaani ni zambi ?unakipimo gani kujua mtu ametenda dhambi?kama huna la kuchangia nyamaza tena lala coz usihukumu usije hukumiwa

observation my foot, we jidanganye mwenyewe
 
ni lazima aonyeshe heshima zaidi wakati mkeo hayupo ii na ww umuheshim piga nyeto jombaaaa:A S 41:
 
mi ninachokiona hapo ni wewe KUMTAARIFU mkeo hiyo issue ya BEST CUSTOMER SRVC anayotoa huyo dada, na mkeo ndiye atakayekushauri cha kufanya...mh! mume anauma jamani!!
habari ba ndugu
wife hayupo nimebaki na house girl cha ajabu anatoa best customer service ukarimu wa hali ya juu mpaka magoti anaponinawisha da sio kawaida yake anapokuwepo mke wangu sasa najiuliza hii huduma nzuri ninayopata nirudipo home ni ya kweli toka moyoni au ni tego mbona akiwepo wife hafanyaji hayo wenye uzoefu tafadhali
 
yani wewe huwezi kunawa mwenyewe mpaka akunawishe lol akuwekee mezani bakuli unawe mwenyewe acheni kuendekeza hivi vitu jamani
 
Jail kama unampenda kweli mkeo na kumdhamini usimfanyie hivyo na huyo mdada ujaribu kumkataza kama anafanya kitu chochote cha tofauti maana watoto wa sikuizi wameharibikiwa kabisa wanajilengesha wenyewe na hili jambo limewavunja moyo wanawake wengi sana na kuharibu mapenzi katikati yao kwasababu hiyo ni sawasawa na kumdhalilisha mwenzio jitume mwenyewe akitaka kukunawisha mwambie weka maji nitanawa tu yani wewe mwenyewe mkataze
 
kalou wewe ndo unajidanya jua jf ni mahali pa kuelimishana mtu anapoleta topic ni kwa manufaa ya wote

Join Date : 13th October 2012
Posts : 212
Rep Power : 392
Likes Received:3
Likes Given:3
i have TOO much respect ... .
 
Back
Top Bottom