- Thread starter
- #61
observation my foot, we jidanganye mwenyewe
kalou wewe ndo unajidanya jua jf ni mahali pa kuelimishana mtu anapoleta topic ni kwa manufaa ya wote
observation my foot, we jidanganye mwenyewe
why kalou!!Join Date : 13th October 2012
Posts : 212
Rep Power : 392
Likes Received:3
Likes Given:3
i have TOO much respect ... .
yani wewe huwezi kunawa mwenyewe mpaka akunawishe lol akuwekee mezani bakuli unawe mwenyewe acheni kuendekeza hivi vitu jamani
Jail kama unampenda kweli mkeo na kumdhamini usimfanyie hivyo na huyo mdada ujaribu kumkataza kama anafanya kitu chochote cha tofauti maana watoto wa sikuizi wameharibikiwa kabisa wanajilengesha wenyewe na hili jambo limewavunja moyo wanawake wengi sana na kumapenzi katikati yao kwasababu hiyo ni sawasawa na kumdhalilisha mwenzio jitume mwenyewe akitaka kukunawisha mwambie weka maji nitanawa tu yani wewe mwenyewe mkataze
ni lazima aonyeshe heshima zaidi wakati mkeo hayupo ii na ww umuheshim piga nyeto jombaaaa:A S 41:
ni lazima aonyeshe heshima zaidi wakati mkeo hayupo ii na ww umuheshim piga nyeto jombaaaa:A S 41:
Ana umri gani?
habari ba ndugu
wife hayupo nimebaki na house girl cha ajabu anatoa best customer service ukarimu wa hali ya juu mpaka magoti anaponinawisha da sio kawaida yake anapokuwepo mke wangu sasa najiuliza hii huduma nzuri ninayopata nirudipo home ni ya kweli toka moyoni au ni tego mbona akiwepo wife hafanyaji hayo wenye uzoefu tafadhali
mi ninachokiona hapo ni wewe KUMTAARIFU mkeo hiyo issue ya BEST CUSTOMER SRVC anayotoa huyo dada, na mkeo ndiye atakayekushauri cha kufanya...mh! mume anauma jamani!!
Mkubwa inawzekana ni wewe umepeleka mawazo yako kusiko, na vyovyote itakavyokuwa kama ni wewe wawaza hivyo au anakutega jaribu sana kuepuka hicho kitu, ni mbaya sana kum-cheat mkeo ila ni mbaya zaidi ku-cheat na haousegirl wenu!
jamiif bwana asante kwa ushauri wako umesema mume anauma je nikimwambia c anaweza mtimua mtoto wa watu any way naona kamu anaweza akawa negative kwa hako katoto c unajua wakina mama ka ishu kadogo anaweza valia njuga
Inawezekana mkeo anamkataza kufanya hayo mazingaombwe!!! wanaume bwana mnafurahisha sana. kupigiwa goti tu imekuwa issue???
na usharati na uzinzi haufai
ukimfamya tu
1. wife atajua
2. ndoa matatani
3. msichana wa kazi - kazi hana
4 . kwa Mungu utakuwa umechafua zaidi!
5. hautafanya mara moja na kucha- utarudia tu!! na hasa kama ni........... ( na hata kama sivyo alivyo atahakikisha anakuwa hivyo ili akuweke sawa!!
epuka S
kumbe nawe umeona mkuu da hata kama huko negative sio uwatukane watu usiowajua anatuita mijanaume mengine laiti angejua kuna wanawake wenzio wanalia usiku na mchana wapate wanaume anaowatukana any way wa kumsamehe bure hajui afanyalo
Hivi ule msemo kwamba: mwanaume ni kitunguu ulishaisha siku hizi? Kama bado upo sioni tatizo kumpa haki yake huyo beki tatu maana naye ni binadamu. La msingi heshima ndani isishuke.... Hapa tunaambizana uongo tu, hivi tunavyoongea huyu jamaa ameshammaliza huyo mtoto ndo maana anaonesha manjonjo yake in the absence of her boss (wife). So jamaa amekuja kutujaribu tu, mpeni ukweli...
Huyu dada bwana uchaguzi wake wa maneno sio mzuri ila hii inaweza kudetermine aina ya mtu hata huko aliko angeweza kufikisha ujumbe ila uchaguzi wa maneno uwe mzuri....ila tusishangae huenda ana allergy na ME huwezi jua bwana watu wanatendwa kila siku