Dada wa kazi

Yani mijianaume mingine ni fadhaa mtu kuachwa tu na bekitatu tayari ashaanza kudindisha...inaonyesha upeo wako mfupi[/QUOT

emmy mi sio janaume ni mwanaume anayejiheshimu na anayempenda mkewe kwa dhati sasa kuleta hii mada ili kubadilishana mawazo na watu ndo kudindisha kwa house girl ?tafadhali uwe mstaarabu we mwanamke kama una matatizo na stress zako usilete hapa ni mchango wako unaonyesha wewe ni mwanamke wa namna gani?sio kwa kwa vile tunatumia majina bandia ndo tufanye tupendavyo jukwaani kwani mi nimeleta mada kuwa nadidisha kwa house girl?
 
hapana mkuu simuwindi nimeona katabia kamebadilika kidogo ndo maana nimeleta jukwaani ni mtu ninayeheshimu ndoa yangu kama ningekuwa namtaka c ningemaliza tu kwani kufanya unyang'au kazi mkuu ?

Mmmmh mkuu sisi wanaume mwanamke akijilengesha ni moja kati ya mitihani migumu kwetu tofauti na mwanamke.....mpak ahapo think mtoto sio mashallah! Ungeshamaliza kitambo mkuu. Mpotezee ujue wanawake wanasomana huenda heshma ikiwekwa mbele ya mama mwenye nyumba anapigwa mkwara
 
Yani mijianaume mingine ni fadhaa mtu kuachwa tu na bekitatu tayari ashaanza kudindisha...inaonyesha upeo wako mfupi

Khaaaah! We dada umelelewaje mbona unamaneno yenye ukakasi sana kama sio mwanamke.....siku zote nawaheshimu wanawake kama fahari ya ulimwengu na mara nyingi hawana vinywa vichafu mbele ya watu ila sio wewe BINTI Hovyoooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!
 
sokwe mjanja kutoka moyoni siwezi msaliti mke wangu ni observation tu nimeona ndo maana nikaposti kujua kama onatokeaga hata kwa wengine

Eti siwezi kumsaliti mke wangu, we mdanganye huyo hausigeli.
 
sipendi watu wanaopenda kuja kuhalisha dhambi zao humu jukwaani
 
sipendi watu wanaopenda kuja kuhalisha dhambi zao humu jukwaani

kalou watu wanahalalisha dhambi kwa vp?kuleta observation jukwaani ni zambi ?unakipimo gani kujua mtu ametenda dhambi?kama huna la kuchangia nyamaza tena lala coz usihukumu usije hukumiwa
 
Eti siwezi kumsaliti mke wangu, we mdanganye huyo hausigeli.

kwa vp namdanya house girl?kuleta hii observation kwani kumsaliti mke kukoje ndugu yangu?hopeful you are greater thinker will answer
 
Khaaaah! We dada umelelewaje mbona unamaneno yenye ukakasi sana kama sio mwanamke.....siku zote nawaheshimu wanawake kama fahari ya ulimwengu na mara nyingi hawana vinywa vichafu mbele ya watu ila sio wewe BINTI Hovyoooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!

kumbe nawe umeona mkuu da hata kama huko negative sio uwatukane watu usiowajua anatuita mijanaume mengine laiti angejua kuna wanawake wenzio wanalia usiku na mchana wapate wanaume anaowatukana any way wa kumsamehe bure hajui afanyalo
 
Ushategwa wewe!!! na inaelekea unakaribia kuingia kwenye mtego...Shauri yako majuto ni mjukuu beki tatu atakapokwambia siku zake hazioni na wewe ndio umehusika kuzipoteza utatamani ardhi ipasuke.

habari ba ndugu
wife hayupo nimebaki na house girl cha ajabu anatoa best customer service ukarimu wa hali ya juu mpaka magoti anaponinawisha da sio kawaida yake anapokuwepo mke wangu sasa najiuliza hii huduma nzuri ninayopata nirudipo home ni ya kweli toka moyoni au ni tego mbona akiwepo wife hafanyaji hayo wenye uzoefu tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Ushategwa wewe!!! na inaelekea unakaribia kuingia kwenye mtego...Shauri yako majuto ni mjukuu beki tatu atakapokwambia siku zake hazioni na wewe ndio umehusika kuzipoteza utatamani ardhi ipasuke.

aah wapi hawezi kufanikiwa but nimepata fahamu tabia yake na kuwa na tahadhari zaidi
 
Last edited by a moderator:
Mm uzoefu wangu ungeomba ushauri kwa mkeo kwanza afu baadae huku

wa kina mama wana roho nyepesi sana anaweza leta kasheshe tena kuna siku aliota mimi nimeharibu dada wa kazi nikamwambua hayo mawazo yako ndo unaota nikamshauri tuombe Mungu ktk ndoa yetu ibirisi asije pata njia ya kututesa ktk ndoa alafu wewe unaniambua anipe ushauri c atapanic na anaweza mfukuza bint wa watu bila hatia kwa hisia zake
 
habari ba ndugu
wife hayupo nimebaki na house girl cha ajabu anatoa best customer service ukarimu wa hali ya juu mpaka magoti anaponinawisha da sio kawaida yake anapokuwepo mke wangu sasa najiuliza hii huduma nzuri ninayopata nirudipo home ni ya kweli toka moyoni au ni tego mbona akiwepo wife hafanyaji hayo wenye uzoefu tafadhali

duuu! Mkuu mkeo si amejifungua hv karibun unataka kumsarit tena.......mm mwenyew nilijiuliza kwajinsi navokufaham ndg yang huwez kumwacha bek3 wako tena alivyomzur vile
 
Pole Bro,
Muone tu kama beseni unalo nawia. Hakuja kwako kufanya kingine, ni kukuosha mikono, kukupa ugali, achukue sahani ukimaliza na nguo yako aioshe si kingine. Huko unaangalia ati kapiga goti, ati macho karembua yametoka wapi. Mpe job description yake na mipaka yake basiiiiii akiruka huo mpaka mtimue hata kabla ya meneja wake kuja (mkeo).
 
Back
Top Bottom