Dada wa kazi

Dada wa kazi

Habari ba ndugu,

Wife hayupo nimebaki na house girl cha ajabu anatoa best customer service ukarimu wa hali ya juu mpaka magoti anaponinawisha da sio kawaida yake anapokuwepo mke wangu sasa najiuliza hii huduma nzuri ninayopata nirudipo home ni ya kweli toka moyoni au ni tego mbona akiwepo wife hafanyaji hayo wenye uzoefu tafadhali.

ishara ya kudai nyongeza ya salary na marupurupu!!!!

sasa inaonekana salary unampa....!!!!!

tatizo marupurupu!!!!!
 
sio vizuri mkuu hawa mabint ni kama watoto wetu tunatakiwa tunawelee nao waje kuwa na future alafu ukigegeda dada wa kazi jua umeleta aibu na fezea ktk ndoa yako yule dada atamdharau mkeo kwa kujiona naye mwanamke hatma yake ndoa itayumba sana kisa binti wa kazi lazima tuziheshimu ndoa zetu ili tuwe na furaha je wewe ungefurahi mkeo akigegedwa na house boy? so kama hupendi hayo usimfanyie dada

una busara sana.
 
Nadhani jibu zuri nikutoka kwa mkeo, msubirie arudi then umuulize!
 
jail weye,,,, mbuzi kafia kwa muuza supu!!

ohooo!!!

we unafikiri ma-hgs ndo hawana nyege!!!

minofu si kila kitu cha kupakamia maamuzi yako ya leo ni matokeo ya kesho amua vyema upate mema amua vibaya upate mabaya nilijifunza kwa kuona kwa macho toka nikiwa mtoto nyumba za uswazi za kupanga kuna vijana wao kilikuwa hakipiti kitu mimi nawachungulia wakivinjali da wote niliofahamu yani waendekeza nyege wamekufa kwa ukimwi ilikuwa miaka 1990 da hadi huruma nyege ntaziendekeza kwa mke wangu tu wengine naona kama ukimwi kama niliweza ishi bila kugegeda mchumba wangu mpaka tukafika ndoa ndo nije nigegede dada wa kazi na wakati mimi natakiwa nimshauri vizuri asije akaanza gegedwa na kupoteza future hawa ni watoto tamaa huwa zinawambua sisi tuliopita huko tuwatie moyo wadada wa kazi wawe wavumilivu huwa moyo unaniumaga ninaposikia housegirl kapata mimba mtoto katoka salamu anarud mja mzito mbaya unavyopenda utendewe minofu watendee wengine hivyo hivyo malipo ni hapahapa duniani kwanza ukiiba mume wa mtu nawe utaibiwa in short tujizoeze kuzimudu hisia zotu huyo mbuzi ni mzoga supu yake itakuwa mbaya usiku mnono bye...
 
Last edited by a moderator:
umeandika kuwa beki tatu anatoa heshima nzuri sana !! sasa wewe ulitaka akudharau?

hapana colonel labda nikufafanulie ameongeza maujuzi ktk kufanya kazi haswa kunihudumia mimi yani unakuta ameandaa vizuri kila aina ya chakula mezani anakaa akisubiri nirudi maana narudi usiku nakula naye anakaa pembeni akisubiri atoe vyombo na kufanya usafi mezani hii sio kawaida nimjuavyo siku zote huwa ananiogopaga hakai hata sitting rum nikiwepo but sasa hv wife hayupo wala haniogopi anakaa kimya pembeni mpaka namaliza kula sasa nijiuliza mbona wakati huu mke wangu hayupo dogo amechangamka na kuonyesha kipaji chake cha ukarimu wife akiwepo huwa anakuwa mpole huwez msikia anajificha rum hata kula anajificha jikoni kwa sasa yupo very free ndo najiuliza why labda mke wangu anambana sana au anatingisha kiberiti unajua kama kitu c chakawaida utajiuliza maswali
 
Acha usenge muheshmu mkeo hivi ss wanaume tukoje umekwishamtamani muone km mdogo wako huyo dada wa kazi anakupigia magoti kukuheshmu km baba ss jichanagnye umlale ndo utakula jeuri yako hata maji ya kunywa hatokupa! Mm wife yupo mbali lkn sitaki h/g anizoee kabisa km kuharibu nikaharibu mbele sio ndani!
Habari ba ndugu,

Wife hayupo nimebaki na house girl cha ajabu anatoa best customer service ukarimu wa hali ya juu mpaka magoti anaponinawisha da sio kawaida yake anapokuwepo mke wangu sasa najiuliza hii huduma nzuri ninayopata nirudipo home ni ya kweli toka moyoni au ni tego mbona akiwepo wife hafanyaji hayo wenye uzoefu tafadhali.
 
Back
Top Bottom