Daah! Nimekosea kumwambia kwamba nimeoa....

Daah! Nimekosea kumwambia kwamba nimeoa....

Kwa hio unataka tukushauri. Any way

Tunakuwa na shida ya msingi sana tunaporuhusu tamaa zituamulie uelekeo wa maisha yetu.
Tunakua na shida zaidi tunapokubali tamaa ziwe ndio msingi/chanzo maamuzi yetu.

Tumepewa akili na ufahamu ili tuweze KUJITAWALA na kutawala yanayotuzunguka.
Kama usipoweza kutawala tamaa zako mwenyewe, hakuna kingine unachokua na utawala nacho.
Maana utakua mtumwa wa tamaa zako mwenyewe.

NB: Tamaa humfanya mtu kuona kila anachotamani ''tamaa'' kuwa halali kwake.
Ukitaka kujua, Muulize yeyote kwa nini anafanya anachokifanya uone kama atakosa sababu.
japo ni ya kijinga lakini kwake yeye kwa wakati huo, hio ndio best thinking yake.
''As a man thinketh, so he is'' ''Kama mtu ajionavyo ndivyo alivyo''
Kama unajiona huwezi kuishi maisha ya kujiheshimu ''ndivyo ulivyo''
Kama unajiona huwezi kuwa mwaminifu ''Ndivyo ulivyo''
Kama unajiona huwezi kuishi bila ulevi ''ndivyo ulivyo''

Swali, je ulivyo, umechagua, umejikuta, umelazimishwa, au ndivyo ilipaswa uwe?
Kwani kabbla ulikuaje? mbona wengine wako kinyume chako? kwa nini wewe tu?
Kwa nini unakubali kirahisi kuwa rafiki wa tamaa zako kuliko adui yake? na kwa nini iwe rahisi?

Kusingekuwa na unavyoviona vya maana sasa, unafikiri ungekua ulivyo?
so ulivyo sivyo unapaswa kuwa sio? Maisha yako ni yako au ni ya genye lako?
Usingekua kwa genge/campani hio unafikiri ungekua na vipaumbele hivyo
Kwa nini wewe usiwe MTAWALA wa tamaa zako unakubali zikutawale?

''I am the wisest person, because i know nothing'' Socrates

Food for thought.
Tized
Bye
The best[emoji4]
 
Kwahiyo ukitaka uzitese hisia za huyo bint kisa tamaa zakoo? Ndomana mnakufa mapema alafu sababu amjui fyuuuu.
 
Si utulje na mkeo!!!!!!
Mbona nyie viumbe ni watu wa ajabu sana. Ghkaaa!!! Mnachefua
Kichefuchefu
Tatizo suruali zimewekwa zipu mkuu... Utulivu ukiwa zero hata nyie hamtatongozwa.... Tuvumilie tu.....
 
Kwahiyo ukitaka uzitese hisia za huyo bint kisa tamaa zakoo? Ndomana mnakufa mapema alafu sababu amjui fyuuuu.
Wewe kwakua una kimemory card, huwezi jua kiherehere cha dushe... Na laiti ningeweza kukuazima kwa siku mbili, usingeirudisha na simu ungeizima usipatikane kabisaaaa...hii kitu ina kiherehere mkuu, acha kabisa..... Hiyo avatar yako tu nishadisa huku.... [emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
Mpigie simu umwambie , kuwa umeamini anakupenda kwa dhati alafu siku ile kule hotel ulikuwa unamdanganya. Ili umuone ana msimamo gani juu yako.
 
Mpigie simu umwambie , kuwa umeamini anakupenda kwa dhati alafu siku ile kule hotel ulikuwa unamdanganya. Ili umuone ana msimamo gani juu yako.
Hahaha... We fundi mkuu.... Sijachoka, nakomaa nae tu..
 
Mwambie huna mke na hiyo siku ulimtania tu. Hawa viumbe ni walaini sana na ni wepesi wa kusahau mkuu.
 
Back
Top Bottom