Ilishawahi nikuta hii, ila yangu ni tofauti kidogo.Kwa muda wa wiki nne sasa, nilikuwa kwenye mingo na huyu mtoto wa kimburu nimnase. Issue haikua ngumu, ugumu ulikua kwenye muda wa kukutana kutokana na shughuli zangu na za kwake.
Mungu huwapenda wote hata wazinzi. Jana Mungu akanipa nafasi ya kukutana mtoto huyu mzuriiii, mwenye macho mkubwa yalolegea na mwili lainiiii. Nikamtafutia hotel nzuri kwa kuweka vizuri kiakili.
Katika story zetu zilianza vizuri na mtoto alikuwa akinielewa na sikuonyesha kuwa na haraka hata. Story ilibadilika kuwa shubiri kwa upande wake nilipomwambia kuwa nina mke, daah! Mtoto kaanza kususa...
Msimamo wangu ni kutomficha demu yeyote ninayemtokea kuwa nina mke na watoto na nilikuwa sijali hata demu akinikataa, sikuona tatizo kwani siwezi kuikana familia kwa ajili ya mbunye.
Lakini kwa uzuri wa huyu mtoto, na bashasha ambazo alishaanza kunipa pale room nilijikuta nikijilaumu kumwambia kwamba nina mke kwani hata mzigo hakunipa, na sina hakika kama atanielewa.
Sasa naanza kujiona nilikosea kuwa na msimamo wa kuwaambia hawa viumbe kuwa nina mke....
Wadau, tatizo hili lishawahi kukutokea na ukajutia au ilikua powa tu......?
[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] hiyo kali aisee!Ilishawahi nikuta hii, ila yangu ni tofauti kidogo.
Nilimpata mtoto mmoja matata sana, nikamwalika hotel, basi katika kujidai kwamba niko njema nikawa naagiza vileo vya gharama, mtoto katulea tu na juice yake, mwisho akaniambia alishajiapisha hata kuja ku date au kuolewa na mtu mlevi au anayeonja pombe ya aina yoyote, na akaniaga na kuondoka.
Fact tupu nimekuelewa vizuri asante kwa darasa huruKwa hio unataka tukushauri. Any way
Tunakuwa na shida ya msingi sana tunaporuhusu tamaa zituamulie uelekeo wa maisha yetu.
Tunakua na shida zaidi tunapokubali tamaa ziwe ndio msingi/chanzo maamuzi yetu.
Tumepewa akili na ufahamu ili tuweze KUJITAWALA na kutawala yanayotuzunguka.
Kama usipoweza kutawala tamaa zako mwenyewe, hakuna kingine unachokua na utawala nacho.
Maana utakua mtumwa wa tamaa zako mwenyewe.
NB: Tamaa humfanya mtu kuona kila anachotamani ''tamaa'' kuwa halali kwake.
Ukitaka kujua, Muulize yeyote kwa nini anafanya anachokifanya uone kama atakosa sababu.
japo ni ya kijinga lakini kwake yeye kwa wakati huo, hio ndio best thinking yake.
''As a man thinketh, so he is'' ''Kama mtu ajionavyo ndivyo alivyo''
Kama unajiona huwezi kuishi maisha ya kujiheshimu ''ndivyo ulivyo''
Kama unajiona huwezi kuwa mwaminifu ''Ndivyo ulivyo''
Kama unajiona huwezi kuishi bila ulevi ''ndivyo ulivyo''
Swali, je ulivyo, umechagua, umejikuta, umelazimishwa, au ndivyo ilipaswa uwe?
Kwani kabbla ulikuaje? mbona wengine wako kinyume chako? kwa nini wewe tu?
Kwa nini unakubali kirahisi kuwa rafiki wa tamaa zako kuliko adui yake? na kwa nini iwe rahisi?
Kusingekuwa na unavyoviona vya maana sasa, unafikiri ungekua ulivyo?
so ulivyo sivyo unapaswa kuwa sio? Maisha yako ni yako au ni ya genye lako?
Usingekua kwa genge/campani hio unafikiri ungekua na vipaumbele hivyo
Kwa nini wewe usiwe MTAWALA wa tamaa zako unakubali zikutawale?
''I am the wisest person, because i know nothing'' Socrates
Food for thought.
Tized
Bye
Now days ukweli ukiuma inakuwa povu.Sawa, umeeleweka mkuu, maana hilo povu! Mmh sijui la sabuni gani
Aqkhaaa. Mpwa wako yeye special habari ile.Mmh, kwa hiyo wewe umenifichia mpwa wangu halafu hapa pia unatusema eeeh...
Unafaini yangu nakudai.
Ha ha ha ha. Wrong number u dialUmefika mkuu, ngoja nikufate PM najua we hutaniacha kama yule mshamba.....
Usimwage mtama kwenye kuku wengi.Sawa nikwambie hapa hapa au nikufate pm
Kilichokuchekesha nini?AHAHAHAHAHAHHAHAHAHAAAAAAAA
Asante mkuuUKO VIZURI KAMA NDIVYO
Kweli kabisa....Uongo ni mtamu kwa mwanamke zaidi ya ukweli
Sawa mamaa nakuja hukoUsimwage mtama kwenye kuku wengi.