Daah! Nimekosea kumwambia kwamba nimeoa....

Daah! Nimekosea kumwambia kwamba nimeoa....

Uo msimamo wako ni mzruri sana ila tatizo unakosea step.inatakiwa baada yaku mgegeda ndio unamwambia ukweli laa sivyo utakosa vitamu.
 
Dhaaa!!, ww jamaa umekulia
Wap kwan mbn umejijazia ulofa mwingi sana
 
Duh hata kabla sija soma kichwa tu kinanionyesha umekwisha haribu starehe ya mwili mkuu vip wewe ndio unaanza mapenzi nini yaani nimeymia kama ndio mm bwana. Ok ngoja nisome
 
Dah sasa unamwambia mambo ya mkeo unakwenda kutafuta nini kwake mkeo si anayo naye mbunye kagegede kwa mkeo boye we umenikera kweli.
 
Dah sasa unamwambia mambo ya mkeo unakwenda kutafuta nini kwake mkeo si anayo naye mbunye kagegede kwa mkeo boye we umenikera kweli.
Sawa mkuu....
 
Wenzio wanasemaga baada ya kula, wewe unasema kabla ya kula.
 
Kanuni kubwa ya kumtawala na kudumu na mwanamke ni Kutokumwambia ukweli kwa kila kitu, kwa ujafundwa ulipooa nakumegea hiyo
 
Back
Top Bottom