sio wote bhana ww kubali tu kuolewaSasa kama una mke na watoto huko nje unatafta nini tena aaaggggrrrrr [emoji21] [emoji21] [emoji21] ndiyo maana sitaki kuolewa na siwapendi wanaume kwa upuuzi huu hapa wa mtoa mada mxiiiiiiiiw
HahahaMpigie mkeo cm halaf mpe cm aongee na huyo mmbulu amwambie wewe na yy mnalea2 watoto kwa hiyo akukubalie.
Mademu walio wengi hawapendi kuambiwa ukwelikweli itakuweka huru...
Jamaa umekosa penati goli likiwa halina kipa kabisa unaanzaje kumwambia demu ukweliKwa muda wa wiki nne sasa, nilikuwa kwenye mingo na huyu mtoto wa kimburu nimnase. Issue haikua ngumu, ugumu ulikua kwenye muda wa kukutana kutokana na shughuli zangu na za kwake.
Mungu huwapenda wote hata wazinzi. Jana Mungu akanipa nafasi ya kukutana mtoto huyu mzuriiii, mwenye macho mkubwa yalolegea na mwili lainiiii. Nikamtafutia hotel nzuri kwa kuweka vizuri kiakili.
Katika story zetu zilianza vizuri na mtoto alikuwa akinielewa na sikuonyesha kuwa na haraka hata. Story ilibadilika kuwa shubiri kwa upande wake nilipomwambia kuwa nina mke, daah! Mtoto kaanza kususa...
Msimamo wangu ni kutomficha demu yeyote ninayemtokea kuwa nina mke na watoto na nilikuwa sijali hata demu akinikataa, sikuona tatizo kwani siwezi kuikana familia kwa ajili ya mbunye.
Lakini kwa uzuri wa huyu mtoto, na bashasha ambazo alishaanza kunipa pale room nilijikuta nikijilaumu kumwambia kwamba nina mke kwani hata mzigo hakunipa, na sina hakika kama atanielewa.
Sasa naanza kujiona nilikosea kuwa na msimamo wa kuwaambia hawa viumbe kuwa nina mke....
Wadau, tatizo hili lishawahi kukutokea na ukajutia au ilikua powa tu......?
Aisee[emoji20]uzinzi ni dhambi....
unatesa hisia za mkeo kisa mbunye wewe mtu.... hizo sms unazomtumia huyo unayemuita mzuri ungemtumia mkeo uliona atafaidi sana eeh?
ndiyo muacheAisee[emoji20]
Ingawa unatetea upande wenu, lakini umenena vyema mkuu.uzinzi ni dhambi....
unatesa hisia za mkeo kisa mbunye wewe mtu.... hizo sms unazomtumia huyo unayemuita mzuri ungemtumia mkeo uliona atafaidi sana eeh?
Sawa, tutajitahid basi mkuu[emoji4]ndiyo muache
Hahahahaaaah... Hapana mkuu, ndivyo tulivyoumbwa, ndio maana suruali zetu wakatuwekea zipu... Miss nawe!uzinzi ni dhambi....
unatesa hisia za mkeo kisa mbunye wewe mtu.... hizo sms unazomtumia huyo unayemuita mzuri ungemtumia mkeo uliona atafaidi sana eeh?