Daah! Nimekosea kumwambia kwamba nimeoa....

Daah! Nimekosea kumwambia kwamba nimeoa....

Hongera kwa kutoikataa familia kwa ajili ya Mbunye ila acha kudukua ikulu za wanawake wengine watadukua na ya mke wako.
Duuh!... Haina shida mkuu, nimekusoma!
 
Ungemlala then ungemwambia akikataa kuendelea sio mbaya unarudi kwa kipenzi chako nyumbani akikubali muendelee unampa masharti ya jinsi mtakavyodumu ktk penzi la siri...akikataa masharti unapiga chini...wanaume embu tujifunze kuwacontrol wanawake ambao tushalala nao mnk uwaga hawana ujanja tena....yani ukishaingiza ht kichwa tu kwenye papachu una haki ya kuchomoa na kuringa hata saa 1 mnk hapo ni kwamba hana ujanja tena...bahati mbaya wanaume wengi hapo ndo wanakuwaga mazEzeta htr
True say mzee
 
Hahahahaaaah... Hapana mkuu, ndivyo tulivyoumbwa, ndio maana suruali zetu wakatuwekea zipu... Miss nawe!
Hivi umesahau kwamba kuna jamaa alikuota humu ndani ukimpa mbunye.... Teeteeeh
hahaaha nakumbuka aliota lakini ni ndoto...shauri yako
 
Mbulu mbona maji Mara moja wewe umeshindwa nini!!! Mpaka asuse !!!! Au brother hauna makenikia!!
 
Kwanza nakupa pongezi sana jamaa kujali familia yako hapo nakupa zinga la pongezi, (haupo tayar kuikana familia yako kwasababu ya mbunye)

Wala usijilaumu eti kwanini ulimwambia kwamba una mke, kwani jambo hilo ni jambo jema kwake pia, na wala usiache kuikana familia yako kwa ajili ya mbunye next time, endelea kuiweka familia yako mbele

Ulichokikosea ni kumwambia mkiwa tayari faragha, hapo ni wazi kabisa lazima akate, lakini kama ungemjulisha jambo hilo kwenye mazingira ya kawaida (sio ya kugegedana) basi pengine angeelewa na ungekula huo mzigo wako unao usifia,
 
Kwa muda wa wiki nne sasa, nilikuwa kwenye mingo na huyu mtoto wa kimburu nimnase. Issue haikua ngumu, ugumu ulikua kwenye muda wa kukutana kutokana na shughuli zangu na za kwake.

Mungu huwapenda wote hata wazinzi. Jana Mungu akanipa nafasi ya kukutana mtoto huyu mzuriiii, mwenye macho mkubwa yalolegea na mwili lainiiii. Nikamtafutia hotel nzuri kwa kuweka vizuri kiakili.

Katika story zetu zilianza vizuri na mtoto alikuwa akinielewa na sikuonyesha kuwa na haraka hata. Story ilibadilika kuwa shubiri kwa upande wake nilipomwambia kuwa nina mke, daah! Mtoto kaanza kususa...

Msimamo wangu ni kutomficha demu yeyote ninayemtokea kuwa nina mke na watoto na nilikuwa sijali hata demu akinikataa, sikuona tatizo kwani siwezi kuikana familia kwa ajili ya mbunye.

Lakini kwa uzuri wa huyu mtoto, na bashasha ambazo alishaanza kunipa pale room nilijikuta nikijilaumu kumwambia kwamba nina mke kwani hata mzigo hakunipa, na sina hakika kama atanielewa.

Sasa naanza kujiona nilikosea kuwa na msimamo wa kuwaambia hawa viumbe kuwa nina mke....

Wadau, tatizo hili lishawahi kukutokea na ukajutia au ilikua powa tu......?
Sasa wewe hapo huoni kwamba uliepushwa na JANGA LA UKIMWI?
 
Umekosea kumwambia mapema ungemla kwanza ngenya ndo ukamwambia wenzako hatufanyi hivi huwa tunawaambia tuna na watoto baada ya kumla Sana na kumchoka
 
Kwanza nakupa pongezi sana jamaa kujali familia yako hapo nakupa zinga la pongezi, (haupo tayar kuikana familia yako kwasababu ya mbunye)

Wala usijilaumu eti kwanini ulimwambia kwamba una mke, kwani jambo hilo ni jambo jema kwake pia, na wala usiache kuikana familia yako kwa ajili ya mbunye next time, endelea kuiweka familia yako mbele

Ulichokikosea ni kumwambia mkiwa tayari faragha, hapo ni wazi kabisa lazima akate, lakini kama ungemjulisha jambo hilo kwenye mazingira ya kawaida (sio ya kugegedana) basi pengine angeelewa na ungekula huo mzigo wako unao usifia,
Asante sana mkuu... Nimeichukua
 
Si utulje na mkeo!!!!!!
Mbona nyie viumbe ni watu wa ajabu sana. Ghkaaa!!! Mnachefua
Kichefuchefu
 
Ungemlala then ungemwambia akikataa kuendelea sio mbaya unarudi kwa kipenzi chako nyumbani akikubali muendelee unampa masharti ya jinsi mtakavyodumu ktk penzi la siri...akikataa masharti unapiga chini...wanaume embu tujifunze kuwacontrol wanawake ambao tushalala nao mnk uwaga hawana ujanja tena....yani ukishaingiza ht kichwa tu kwenye papachu una haki ya kuchomoa na kuringa hata saa 1 mnk hapo ni kwamba hana ujanja tena...bahati mbaya wanaume wengi hapo ndo wanakuwaga mazEzeta htr
Duuuh[emoji102]
 
Back
Top Bottom