Nani anashida ya kutongozwa na mume wa mtu???Tatizo suruali zimewekwa zipu mkuu... Utulivu ukiwa zero hata nyie hamtatongozwa.... Tuvumilie tu.....
Mmh, kwa hiyo wewe umenifichia mpwa wangu halafu hapa pia unatusema eeeh...Nani anashida ya kutongozwa na mume wa mtu???
Huoni aibu eti msingetongozwa!!
Kika kukicha mnawasema vibaya, mara wanawake mko hivi nara wanawake mko vile, mwisho wa siku mnawaacha wanawake zenu ndani mnawafuata wengine nje.
Watu au viumbe vya ajabu sana nyinyi.
Basi mkome kuwasema vibaya na kuchangia nyuzi zinazowasema vibaya wanawake ikiwa tatizo ni suruali zenu kuwekwa zipu.
Sawa, umeeleweka mkuu, maana hilo povu! Mmh sijui la sabuni ganiNani anashida ya kutongozwa na mume wa mtu???
Huoni aibu eti msingetongozwa!!
Kika kukicha mnawasema vibaya, mara wanawake mko hivi nara wanawake mko vile, mwisho wa siku mnawaacha wanawake zenu ndani mnawafuata wengine nje.
Watu au viumbe vya ajabu sana nyinyi.
Basi mkome kuwasema vibaya na kuchangia nyuzi zinazowasema vibaya wanawake ikiwa tatizo ni suruali zenu kuwekwa zipu.
Kama unaeleweka ntakuelewa tu.Vp we utanielewa
Huyo ndio mamuuhHIYO PICHA YAKO?
nenda katubu hayo mawazo yako ya kizinzi mkuuMungu huwapenda wote hata wazinzi. Jana Mungu akanipa nafasi ya kukutana mtoto huyu mzuriiii
Kwa muda wa wiki nne sasa, nilikuwa kwenye mingo na huyu mtoto wa kimburu nimnase. Issue haikua ngumu, ugumu ulikua kwenye muda wa kukutana kutokana na shughuli zangu na za kwake.
Mungu huwapenda wote hata wazinzi. Jana Mungu akanipa nafasi ya kukutana mtoto huyu mzuriiii, mwenye macho mkubwa yalolegea na mwili lainiiii. Nikamtafutia hotel nzuri kwa kuweka vizuri kiakili.
Katika story zetu zilianza vizuri na mtoto alikuwa akinielewa na sikuonyesha kuwa na haraka hata. Story ilibadilika kuwa shubiri kwa upande wake nilipomwambia kuwa nina mke, daah! Mtoto kaanza kususa...
Msimamo wangu ni kutomficha demu yeyote ninayemtokea kuwa nina mke na watoto na nilikuwa sijali hata demu akinikataa, sikuona tatizo kwani siwezi kuikana familia kwa ajili ya mbunye.
Lakini kwa uzuri wa huyu mtoto, na bashasha ambazo alishaanza kunipa pale room nilijikuta nikijilaumu kumwambia kwamba nina mke kwani hata mzigo hakunipa, na sina hakika kama atanielewa.
Sasa naanza kujiona nilikosea kuwa na msimamo wa kuwaambia hawa viumbe kuwa nina mke....
Wadau, tatizo hili lishawahi kukutokea na ukajutia au ilikua powa tu......?
Sawa nikwambie hapa hapa au nikufate pmKama unaeleweka ntakuelewa tu.