Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,149
- 190,641
Mara nyingi ukiwa na character hizi hutopata shida na mademu hasa ukiwa mtamu kwenye pickup lines na kuamsha tabasamu la mwanamke.1.Lazima ujiamini
2.Lazima ujue kuchombeza
3.Lazima uwe nadhifu
4.Lazima uwe mchangamfu
5.Lazima ujue kupandanisha stori (ukianza stori moja hakikisha huimalizi, anza stori nyingine, demu asijue stori zinapandana)
6.Lazima uwe na ka-wallet kana noti za kuzugia (ku-boost confidence) kusudi ukiombwa hata juice sio unaanza kutoa mboni
Zingine ntaku-PM maana list ni ndefu sana
.
Ila pamoja na yote hayo usiwe mfupi maana response utakayopokea kwa masista duh wengi itamaliza appetite yako ya kula. Labda uwafate wale wafupi wenzio tu 🤣🤣🤣

