Mnaangaliaga usmart au kama pesa ipo?...hakuna lolote...mi nilishawahi kupendwa nikiwa hovyo kabisa kimavazi sema nilikuwa nazungusha pombe kama sina akili nzuriUna sema " mambo Dada? Samahani unaenda wap? Akijibu... OK nimevutiwa na wewe kama itakupendeza naomba no. Ila kabla ya mtongozo jitathimini, uko smart? Sio umejivalisha vibaya utegemee akubali kirahisi.
Afu ongea kwa ustaarabu, pia kwanza muone kama mnaendana kiumri, watu wengi tuna tatizo la kudhalau wanaume wanaoonekana kama wavulana.
kushuka kituo ambacho anashukia yeye hata kama haujafika. Ili uweze kuomba namba.