Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,090
Soma Muhubiri 10:19
Sasa ww mahela yote hayo na pesa ilivyokuwa ngumu huoni hiyo mbinu yako ni kwa ajili ya watu wachacheNiliongelea anaye taka kutongoza nilimpa easiest way ya kumaliza ugwadu..sijasema njia ya kutoa shahawa
Hata tukikusaidia kutongoza ukaweza utafaidi wewe kama wewe na sio kwa maslahi mapana ya nchi.Wakuu nahisi mm ni muhanga wa hili tatizo na pengine kuna watu wanamna kama ya kwangu.....
Huwa napata wakati mgumu sana kumtongoza MTU pale napokutana naye kwa Mara ya kwanza, yaani hapo nikuwa ndo mmekutana naye kwa Mara ya kwanza inaweza ikawa labda njiani au kwenye daladala.
Maana wanaume sie huwa hatukawii kupenda na kama upo single basi kila mwanamke mzuri unayekutana naye unatamani awe wako Ila sasa mbinu za kumuingilia ndo huwa kitendawili....wazoefu tunaomba tushare hapa na wadada mnaruhusiwa kuchangia pia
Hili nalo ni janga mkuu la kitaifa hivi ushawi kujiuliza miongoni mwa sababu ya watu kubakwa??Hata tukikusaidia kutongoza ukaweza utafaidi wewe kama wewe na sio kwa maslahi mapana ya nchi.
Ndio mojawapo ya vichocheo vya watu kubakwa hivyo mkuu.Hili nalo ni janga mkuu la kitaifa hivi ushawi kujiuliza miongoni mwa sababu ya watu kubakwa??
Una sema " mambo Dada? Samahani unaenda wap? Akijibu... OK nimevutiwa na wewe kama itakupendeza naomba no. Ila kabla ya mtongozo jitathimini, uko smart? Sio umejivalisha vibaya utegemee akubali kirahisi.
Afu ongea kwa ustaarabu, pia kwanza muone kama mnaendana kiumri, watu wengi tuna tatizo la kudhalau wanaume wanaoonekana kama wavulana.
Huwa napata wakati mgumu sana kumtongoza MTU pale napokutana naye kwa Mara ya kwanza, yaani hapo nikuwa ndo mmekutana naye kwa Mara ya kwanza inaweza ikawa labda njiani au kwenye daladala.
Kama ni Muislamu au Msabato je..??? Na sio kila demu anakula kitimoto na kunywa biaHivi bado Kuna kutongoza?
Mi nilishasahau.
Natangaza lengo langu na pesa mbele.
Akigoma naendelea mbele!!
Hawa wanawake miaka sio wa kuumiza kichwa, mpe offer ya kitimoto na bia ushamaliza!!
Mkimaliza hapo anakuambia anaogopa kurudi kwake peke yake!!
Mkuu kwamba unaanza kutoa mboni....1.Lazima ujiamini
2.Lazima ujue kuchombeza
3.Lazima uwe nadhifu
4.Lazima uwe mchangamfu
5.Lazima ujue kupandanisha stori (ukianza stori moja hakikisha huimalizi, anza stori nyingine, demu asijue stori zinapandana)
6.Lazima uwe na ka-wallet kana noti za kuzugia (ku-boost confidence) kusudi ukiombwa hata juice sio unaanza kutoa mboni
Zingine ntaku-PM maana list ni ndefu sana
.
Eee mtoto anataka kiepe kuku alafu we huna hata buku mbovu...hapo lazima utoe machoMkuu kwamba unaanza kutoa mboni....
Una sema " mambo Dada? Samahani unaenda wap? Akijibu... OK nimevutiwa na wewe kama itakupendeza naomba no. Ila kabla ya mtongozo jitathimini, uko smart? Sio umejivalisha vibaya utegemee akubali kirahisi.
Afu ongea kwa ustaarabu, pia kwanza muone kama mnaendana kiumri, watu wengi tuna tatizo la kudhalau wanaume wanaoonekana kama wavulana.
Wana vitu vyao nao.Na wasiokula kitimoto na bia unawapa nini?....
Mkuu mbuzi anakula majani wanayokula mbuzi wenzie.Kama ni Muislamu au Msabato je..??? Na sio kila demu anakula kitimoto na kunywa bia
Aiseee...! Mi huwa natumia EYE CONTACT nikifeli hapo ndo basi tenakama sio mtu wa story na blah blah nyingi kumtongoza mtu tu mara ya kwanza kazi sana
DadaUna sema " mambo Dada? Samahani unaenda wap? Akijibu... OK nimevutiwa na wewe kama itakupendeza naomba no. Ila kabla ya mtongozo jitathimini, uko smart? Sio umejivalisha vibaya utegemee akubali kirahisi.
Afu ongea kwa ustaarabu, pia kwanza muone kama mnaendana kiumri, watu wengi tuna tatizo la kudhalau wanaume wanaoonekana kama wavulana.
Mwanaume UNATUMIAJE NENO.. KUISHIWA POZI?Wakuu mpo vizuri isee, inabidi nianze kutafuta maconfidence sema wengine sura zetu ngumu changamoto hiyo pia....unamsalimia demu hata salamu hakupi mpaka unaishiwa na pozi na kushindwa kuendelea hata na mada
Hahaha kma nilikuwepo na sauti zao hahahWasukuma wanachekesha sana. Juzi tu alianza kuniita hivi.
Dhadha( Dada) simama basii.nikasimamaalipofika, mambo nikasema poa. Akaanza sasa.
Unajua mayoo, yaani Mimi nilikuona pale umeshuka, nikajisemea yaan, nikasikia kama vile yaan.nikacheka.
Akasema moyo huu huu jamanihapo haniangalii usoni ,mm namuona Usoni, hapo kashika lile li iPad likubwaa yaan nusu ya laptop, Mara mtu kampigia akaliweka skioni ni lilikuwa kama sahani akasema alooooooo, alooooooo sauti kubwa dah, nikaendelea kumuona suruali zile za kisabato, akamaliza kuongea.
Yaani mm najiskia kugupenda (kukupenda). Nilicheka alikuwa na vituko. Mwisho akaomba no, nikamwambia hapana sitaki mwanaume. Nikamwambia byeee nikaacha ananiita wewe dhadha
![]()
acha u bwege yanga imeingiaje hapo huyu ni wa kwenu mbumbumbu fcwe utakuwa shabiki wa Arsenal na Yanga
Unaturudisha nyuma mkuu