MhShunie kisu!!
Dada ako ajambo lakini!! I miss her.
Kama hauna hela hauwezi kula mzigoWakuu nahisi mm ni muhanga wa hili tatizo na pengine kuna watu wanamna kama ya kwangu.....
Huwa napata wakati mgumu sana kumtongoza MTU pale napokutana naye kwa Mara ya kwanza, yaani hapo nikuwa ndo mmekutana naye kwa Mara ya kwanza inaweza ikawa labda njiani au kwenye daladala.
Maana wanaume sie huwa hatukawii kupenda na kama upo single basi kila mwanamke mzuri unayekutana naye unatamani awe wako Ila sasa mbinu za kumuingilia ndo huwa kitendawili....wazoefu tunaomba tushare hapa na wadada mnaruhusiwa kuchangia pia
Hii haiwezekaniSema inabidi na wanawake muwe mnatutongoza bana, yaani unakuta mwanamke anampenda mwanaume badala ya kumwambia ukwel unaumia roho tuuuu so poa bana
Hajambo kabisa nitamfikishia salaam zake mm na ukisu wapi na wapi mbona unapenda kututukana watu wengineDada ako ajambo lakini!! I miss her.
Hahaha tena kisu haswa haswa.
haha simama basi kwenye kitiHajambo kabisa nitamfikishia salaam zake mm na ukisu wapi na wapi mbona unapenda kututukana watu wengine
Nasimamaje na huyo sio mm jamanihaha simama basi kwenye kiti
Kwann haiwezekaniHii haiwezekani
Duuuh so hadi yule pale magogoni naye ni kilaza.
Musiba kuna mtu wa kuteka huku





Sikuizi kumtaka Demu atutongozi mbona mnaleta mambo ya kalekama sio mtu wa story na blah blah nyingi kumtongoza mtu tu mara ya kwanza kazi sana
kutongoza si lazima useme nakutaka, au nakupenda, ishu ni kujenga mazoea na mtu akuelewe na kukuamini,Sikuizi kumtaka Demu atutongozi mbona mnaleta mambo ya kale
Inamaana wewe hutongozwi?Kwahiyo kuna watu bado mnatongozana?
Nakereka sana ile moment ya nijibu basi unajua nakupenda. Nakupa block takatifu
Tuseme tu hivyo.Inamaana wewe hutongozwi?
Tafuta hela mdogo wangu,mambo ya kusimamisha mdada wa watu na kuanza kumpa sound,na mistari mireeefu,tulifanya kaka zako,enzi hizo mpaka mwisho wa miaka ya 1999s,kabla ya smart phone na Social networks,Wakuu nahisi mm ni muhanga wa hili tatizo na pengine kuna watu wanamna kama ya kwangu.....
Huwa napata wakati mgumu sana kumtongoza MTU pale napokutana naye kwa Mara ya kwanza, yaani hapo nikuwa ndo mmekutana naye kwa Mara ya kwanza inaweza ikawa labda njiani au kwenye daladala.
Maana wanaume sie huwa hatukawii kupenda na kama upo single basi kila mwanamke mzuri unayekutana naye unatamani awe wako Ila sasa mbinu za kumuingilia ndo huwa kitendawili....wazoefu tunaomba tushare hapa na wadada mnaruhusiwa kuchangia pia
Sawa mkuu ngoja tutafute pesa watakuja wenyewe tuTafuta hela mdogo wangu,mambo ya kusimamisha mdada wa watu na kuanza kumpa sound,na mistari mireeefu,tulifanya kaka zako,enzi hizo mpaka mwisho wa miaka ya 1999s,kabla ya smart phone na Social networks,
Sasa HV unaanzia wapi kupiga sound,unaye mpiga sound yupo bize na smart phone muda wote?
Tafuta hela kwanza mengine utazidishiwa
we utakuwa shabiki wa Arsenal na Yanga
Unaturudisha nyuma mkuu
Anaturudisha enzi za barua