Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,240
Mwambie samahani dada kuna jambo nataka nikushirikishe ila muda sio rafiki naomba namba yako ya simu kama itakupendeza nitakupigia baadaye tuongee.
Akikataa usijiskie vibaya kwasababu waswahili wanasema "wali wa kushiba unauona tu kwa macho"
Akikataa usijiskie vibaya kwasababu waswahili wanasema "wali wa kushiba unauona tu kwa macho"