Daah! Hivi unaanzaje kutongoza

Daah! Hivi unaanzaje kutongoza

Wasukuma wanachekesha sana. Juzi tu alianza kuniita hivi.

Dhadha( Dada) simama basii.nikasimama alipofika, mambo nikasema poa. Akaanza sasa.

Unajua mayoo, yaani Mimi nilikuona pale umeshuka, nikajisemea yaan, nikasikia kama vile yaan.nikacheka.

Akasema moyo huu huu jamani hapo haniangalii usoni ,mm namuona Usoni, hapo kashika lile li iPad likubwaa yaan nusu ya laptop, Mara mtu kampigia akaliweka skioni ni lilikuwa kama sahani akasema alooooooo, alooooooo sauti kubwa dah, nikaendelea kumuona suruali zile za kisabato, akamaliza kuongea.

Yaani mm najiskia kugupenda (kukupenda) . Nilicheka alikuwa na vituko. Mwisho akaomba no, nikamwambia hapana sitaki mwanaume. Nikamwambia byeee nikaacha ananiita wewe dhadha
Nimecheka sana dah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom