Daah! Hivi unaanzaje kutongoza

Daah! Hivi unaanzaje kutongoza

me ..mambo
ke...poa
me.. nmevutiwa na ww sichoki kuvuta taswira jinsi nnavokupeleka mawinguni tukiwa 6 kwa 6, nipe fursa nikupe faraja ya moyo.

baada ya hapo utajua mwenyew ,unaweza kubaliwa au kukataliwa , mengne yatafatia hapo.
 
Hakuna formula. Inategemea na mazingira, mtu alivyo n.k. unahitaji kupiga calculation haraka haraka kichwani. Unaweza kutumia njia zifuatazo:
1. Tafuta upenyo wa kuingilia ( entry point). Yaweza kujifanya unaomba msaada fulani. Kwa mfano samahi dada una kalamu hapo unisaidie.
2. Toa sifa fulani ..Give a complement. Umependeza, nimependa style yako ya nywele...
3. Joke..fanya utani na mzaha kidogo..kumbuka uwe utani au mzaha usioumiza. Lengo ni kumfanye acheke.
4. Endekeza mazungumzo... Mazungumzo yasiyo boa. hakikisha unafanya mazungumzo general, usianze kuzungumzia vitu personal...Kama ulianza kutoa complement ya nywele ongelea nywele. ...siyo unafanya kazi, umesoma nini, unaishi wapi...Epuka pia kujiongekea mwenyewe..mimi nafanya hivi, nakaa kule.. Unless akuulize.
5. Omba mawasiliano.
6. Sepa zako. Usimpigie mpaka baada ya siku 2.

Note:
1. Kama ni sehemu ya kukaa, nunua kinywaji
2. Hakikisha always unavaa vizuri
 
shida ni kutafuta starting point. kama si mtu wa maneno mengi ukikutana na wale hawapendi kusema sema shughuli ipo.
Wasukuma wanachekesha sana. Juzi tu alianza kuniita hivi.

Dhadha( Dada) simama basii.nikasimama😁 alipofika, mambo nikasema poa. Akaanza sasa.

Unajua mayoo, yaani Mimi nilikuona pale umeshuka, nikajisemea yaan, nikasikia kama vile yaan.nikacheka.

Akasema moyo huu huu jamani 😁😁 hapo haniangalii usoni ,mm namuona Usoni, hapo kashika lile li iPad likubwaa yaan nusu ya laptop, Mara mtu kampigia akaliweka skioni ni lilikuwa kama sahani akasema alooooooo, alooooooo sauti kubwa dah, nikaendelea kumuona suruali zile za kisabato, akamaliza kuongea.

Yaani mm najiskia kugupenda (kukupenda) 😁😁😁😁. Nilicheka alikuwa na vituko. Mwisho akaomba no, nikamwambia hapana sitaki mwanaume. Nikamwambia byeee nikaacha ananiita wewe dhadha😂😂
 
Kwanza UNAMUAMKIA!
Kisha unamuuliza kati ya SIKINDE na YANGA.... anapenda ipi?
Unamalizia kwa kumuuliza kama anakunywa Chai!
Wakuu nahisi mm ni muhanga wa hili tatizo na pengine kuna watu wanamna kama ya kwangu.....
Huwa napata wakati mgumu sana kumtongoza MTU pale napokutana naye kwa Mara ya kwanza, yaani hapo nikuwa ndo mmekutana naye kwa Mara ya kwanza inaweza ikawa labda njiani au kwenye daladala.
Maana wanaume sie huwa hatukawii kupenda na kama upo single basi kila mwanamke mzuri unayekutana naye unatamani awe wako Ila sasa mbinu za kumuingilia ndo huwa kitendawili....wazoefu tunaomba tushare hapa na wadada mnaruhusiwa kuchangia pia
 
Wasukuma wanachekesha sana. Juzi tu alianza kuniita hivi.

Dhadha( Dada) simama basii.nikasimama😁 alipofika, mambo nikasema poa. Akaanza sasa.

Unajua mayoo, yaani Mimi nilikuona pale umeshuka, nikajisemea yaan, nikasikia kama vile yaan.nikacheka.

Akasema moyo huu huu jamani 😁😁 hapo haniangalii usoni ,mm namuona Usoni, hapo kashika lile li iPad likubwaa yaan nusu ya laptop, Mara mtu kampigia akaliweka skioni ni lilikuwa kama sahani akasema alooooooo, alooooooo sauti kubwa dah, nikaendelea kumuona suruali zile za kisabato, akamaliza kuongea.

Yaani mm najiskia kugupenda (kukupenda) 😁😁😁😁. Nilicheka alikuwa na vituko. Mwisho akaomba no, nikamwambia hapana sitaki mwanaume. Nikamwambia byeee nikaacha ananiita wewe dhadha😂😂
😂😂😂😂 Aiseeh.
 
Be friends to em first...

Get em to know you just a little but make em trust you thousand times...(believe me, trust comes first)

Avoid using words like "i love u", "be my wife", "i wanna marry you" etc zile maneno za kujicommit as iff unafanya application ya visa za mamtoni...

Instead tumia maneno like "najisikia furaha nikiwa nawe, chat nawe", au "i wanna know more bout you", "natamani kujua kama moyo wako ni mzuri kama lilivyo umbile lako".... etc

Kuna mengi ya kuandika, ngoja niishie hapa...
 
Usiende na gear ya kutongoza wala akili za kutongoza.

Nenda kapige story tu then huo uoga wako ukikutoka ndo uingize mambo mengine itakuchukua dk 2 ya story za kawaida kushusha hofu na baada ya hapo ni kuanza ujinga wako sasa...

Kwa sisi wenye vituko na ujinga mwingi nafika namchekesha, nambadilikia nachukua namba nasepa
 
Wakuu nahisi mm ni muhanga wa hili tatizo na pengine kuna watu wanamna kama ya kwangu.....
Huwa napata wakati mgumu sana kumtongoza MTU pale napokutana naye kwa Mara ya kwanza, yaani hapo nikuwa ndo mmekutana naye kwa Mara ya kwanza inaweza ikawa labda njiani au kwenye daladala.
Maana wanaume sie huwa hatukawii kupenda na kama upo single basi kila mwanamke mzuri unayekutana naye unatamani awe wako Ila sasa mbinu za kumuingilia ndo huwa kitendawili....wazoefu tunaomba tushare hapa na wadada mnaruhusiwa kuchangia pia
Tafuta hela kama million 10.halafu nenda sehemu unayojua ina watoto wazur na wana makalioooooooo..mwambie mmojawapo nakupenda.halafu mnunulie kifurush cha laki 1.asipokukubalia kajitose baharini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom